KINGAZI BLOG: 03/28/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, March 28, 2016

‘Gigy Money’ ‘ Nipo tayari kucheza picha za ngono endapo nitapewa mshiko wa maana‘.

...

Yemi Alade - Ferrari (Official Video)

...

YEMI ALADE FT P SQUARE - TO NIGHT(AUDIO)

...

RAY C FT WYRE - NALAZIMISHWA PENZI(AUDIO)

...

BEYONCÉ AFUNGUA KANISA NA KUJIITA YEYE NI MUNGU WA KIKE >>>> hebu ona picha hapa>>>>

...

Njia ya haraka ya kupunguza unene na tumbo kwa wanawake na watu wengine.

Kwanza kabisa napenda kuwashauri watu wanene wasitumie vidonge/madawa ya kiwandani kwa lengo la kupunguza unene, kwani vidonge vina athari zake mwilini ukizingatia kuwa vin...

Siri yafichuka Kumbe Diamond alishamtoa Chid benz Damu na kumuwekea nyingine ili aache Madawa ya kulevya.

Meneja wa wanamuziki wa bongo fleva Babu Tale ameweka wazi kitu ambacho watu wengi walikuwa hawakijui kuhusu Diamond na Chid Ben...

Chama cha Wananchi (CUF) Kutoa Tamko Zito Kuhusu Hatima yake Kisiasa Zanzibar...Maalim Seif Apunguziwa Ulinzi

Chama cha Wananchi (CUF), kimesema kinajiandaa kutoa tamko zito kuhusu hatima yake kisiasa visiwani Zanzibar....

Tazama hapa picha za diamond na zari wakila raha ulaya.inasemekana alitumia zaidi ya Milioni 100

...

Mbunge aeleza alivyokwepa mtego wa rushwa

MMOJA wa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye kamati yake imetuhumiwa kuhusika na rushwa, ameeleza jinsi alivyotaka kupewa fedha zinazodaiwa kuwa za rushwa na moja ya idara za Serikali, lakini akazishtukia na kuzikataa...

Je, unazijua sifa za mwanaume anayefaa kuwa mwenza wako-1

Heri ya Jumatatu ya Pasaka, tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi na upendo wake kwetu. Mpenzi msomaji  Je, Unazijua Sifa za Mwanaume Anayekufaa Kuwa Mwenza Wako?’ Niliishia kwenye kipengele cha asiwe mtu wa kupayuka hasa mnapokuwa mmekosana. Busara, utulivu na...

Makonda aomba Watanzania kumuombea Maguful

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hatari anayokabiliana nayo Rais John Magufuli katika kufumua uozo ndani ya serikali ni kubwa kuliko inavyodhaniwa na ameomba Watanzania kuongeza maombi dhidi yak...

HAYA HAPA MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATATU,MACHI 28,2016 KWENYE HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,MICHEZO,UDAKU NA STORI NYINGINE KALI.

March 28 2016 nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya news blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysasa....
 

Gallery

Popular Posts

About Us