KINGAZI BLOG: 03/15/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, March 15, 2016

VIDEO: Rais Magufuli alivaa sura ya kazi kuwaapisha wakuu wa mikoa ila hiki kilichekesha wengi akiwemo yeye

Rais John Pombe Magufuli aliwateua wakuu wapya wa mikoa Tanzania bara March 13 2016 ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo...

Chama chaondoa kaptura kwenye sare India

  Sare rasmi ya chama hicho sasa itajumuisha suruali ndefu    Chama cha mrengo wa kulia cha Wahindi cha Rashtriya Swayamsevak Sangh (RSS) kimetangaza kwamba kitaondoa kaptura za rangi ya kaki kwenye sare ya...

Oparesheni dhidi ya ugaidi yawageukia polisi Ubelgiji

Oparesheni dhidi ya Ugaidi nchini Ubelgiji Vikosi vya maafisa wa usalama nchini Ubelgiji vinawasaka watu wawili baada ya maafisa wa polisi kufyatuliwa risasi katika oparesheni dhidi ya ugaidi katika mji mkuu wa Br...

Wapiganaji wadhibiti mji wa Somalia

Maharamia katika pwani ya Somalia Kundi moja la wapiganaji lililokuwa katika mashua limewasili katika pwani ya jimbo la Somalia Puntland na kuudhibiti mji hu...

Walimu Wanaotuhumiwa Kufanya Mapenzi na Wanafunzi Jijini Mwanza Waundiwa Kamati Maalum

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Mwanza kimeunda kamati kuchunguza tuhuma dhidi ya baadhi ya walimu wa Shule ya Sekondari Mihama wilayani Ilemala kujamiiana na wanafunzi wao....

Tetesi za Staa Wema Sepetu kuwa na mpenzi mpya Mcongo, yeye mwenyewe kaongea haya….

Tangu mwaka 2016 uanze miongoni mwa story zilizochukua headlines kwenye mitandao mbalimbali ni hii inayomuhusu mwigizaji staa wa Tanzani...

Alichokisema Diamond Platnumz kuhusu utambulisho wa msanii mpya kutoka WCB hiki hapa.

Baada ya label ya WCB kumsaini mkali wa hit single ya Bado ‘Harmonize’ na kuendelea kufanya vizuri kwenye soko la muziki wa Tanzani...

Tinashe ‘Bullet’ ..(+Audio)

Nyingine mpya kutoka kwa Tinashe ‘Bullet’ imenifikia iko hapa..(+Audio) By Edwin TZA on March 15, 2016 75 shares Share Tweet Share Share comments New song kutoka kwa Tinashe bonyeza hapa kuiskiliza onlin...

Serikali ya Magufuli inazingatia uadilifu, uaminifu na uwajibikaji

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa. HAKUNA shaka kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imevutia wengi katika muda wa takribani miezi minne ambayo imekuwa madarakani. Watanzania wengi wamekuwa na imani kubwa na Serikali ...

Ofisa Mifugo chupu chupu atumbuliwe jipu Misenyi

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa. OFISA Mifugo wa Kata ya Kakunyu wilayani Misenyi mkoani Kagera, Eric Kagoro amenusurika kutumbuliwa jipu kwenye mkutano wa hadhara baada ya kuhusishwa na sakata la kuruhusu ng’ombe 291 kulisha kwenye Ranchi ya Mifugo ya Misen...

Magufuli apongezwa sana kwa uteuzi wa Ma-RC

  Rais Dk John Magufuli. UTEUZI wa wakuu wa mikoa uliofanywa na Rais John Magufuli juzi, umeonekana kuwaridhisha wengi kutokana na watu wa kada tofauti kupongeza wakisema umezingatia weledi, elimu, rika na historia ya uchapakazi ya wahusika. ...

Stori kubwa katika uchambuzi wa magazeti ya leo tarehe 15 march 2016.

Stori kubwa katika uchambuzi wa magazeti ya leo tarehe 15 march 2016.nakukaribisha sasa  upitie vichwa vya vya habari kwenye magazeti ya leo.pia usisahau kulike page yetu katika mitandao ya kijamii yaani facebook/tanzaniampya news blog, na twitter@TZmpyasasa.   ...
 

Gallery

Popular Posts

About Us