
Staa wa Bongo fleva Rajab Abdulhan ‘Harmonize’.
Siri nje! Staa kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)
anayejipenyeza kwa kasi kwenye Bongo Fleva, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’
amekiri kuwa shemeji yake kwa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz;, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’,ndiye aliyemuunganisha na
demu mkali kutoka Nairobi nchini Kenya, Huddah Monroe ‘The Boss Chick’.
‘Harmonize’...