Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL kufikia 16 Aprili, 2016.
Saturday, April 16, 2016
Idris Sultan Wanaosema Sina Kazi Wanakosea...' Kuwa Kwenye Mitandao ya Kijamii Kwangu ni Kazi
Published Under
TOP STORIES
Idris amefunguka hayo alipokuwa akihojiwa na mtangazaji Salama Jabir katika kipindi cha Mkasi Tv Show kinachotushwa na EATV.
''Mimi ni 'Celebrity' na kwangu kuwa kwenye mitandao ya kijamii kwangu ni kazi kwa sababu siwezi kufanya 'interview' na vyombo vya habari kila siku''-Amesema Idris.
Aidha Msanii huyo pamoja na mambo mengine amefunguka kwamba bado hajaoa na wala hana mtoto.
SHARE!
Daraja Jipya la Kigamboni Limeanza Kutumika Leo..Hizi Hapa Picha
Published Under
KITAIFA
April 16 2016 ni siku ya kwanza kwa wakazi wa kigamboni kuanza kutumia
Daraja jipya la kigamboni, kuvuka kutoka upande wa vijibweni kwenda
upande wa pili wa kurasini Daraja la kigamboni litafunguliwa rasmi siku
ya tareheApril 19 2016 na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Dk.John pombe Magufuli
SHARE!
Fuvu la Binadamu Ndani ya Ofisi ya Mwanamuziki Diamond Platnumz...
Published Under
TOP STORIES
SHARE!
Matokeo ya Mechi ya Yanga na Mtibwa Sugar leo Haya Hapa....Cannavaro Atoa neno.
Published Under
MICHEZO
SHARE!
VIDEO;Majipu Yaliyotumbuliwa Kwa Mbwembwe Yarudishwa Kimya Kimya.
Published Under
KITAIFA
Yule aliyesema kwamba serikali inaendesha mambo yake kwa mizuka kweli hajakosea.
Upo uthibitisho kwamba watu ambao wamekuwa wakisimamishwa ama kufukuzwa kazi na serikali kwa mbwembwe za kwenye vyombo vya habari wameanza kurudishwa kazini.
SHARE!
Maajabu:( VIDEO)Watoto Mapacha Wazaliwa Wamekumbatiana.
Published Under
MAAJABU
SHARE!
Wanufaika mishahara hewa waanza kubanwa
Published Under
KITAIFA
Waziri wa nchi ofisi ya Rais (utawala bora) Bi.Angela Kairuki
SAKATA la mishahara hewa iliyokuwa ikiigharimu Serikali zaidi ya Sh bilioni 1.8 kila mwaka, limechukua sura mpya baada ya mishahara hiyo kubainika kuwepo karibu katika kila kona ya nchi.
SAKATA la mishahara hewa iliyokuwa ikiigharimu Serikali zaidi ya Sh bilioni 1.8 kila mwaka, limechukua sura mpya baada ya mishahara hiyo kubainika kuwepo karibu katika kila kona ya nchi.
SHARE!
Wana miaka 117 na bado wanadunda!
Published Under
MAKALA
Susannah Mushatt sasa ana umri wa miaka 117Emma Morano sasa ana umri wa miaka 117.
Duh! Hawa ndiyo vikongwe ambao wamebainika kuzaliwa miaka ya 1800 na wanaendelea kuishi kama kawa.Susannah Mushatt kutoka Marekani, alizaliwa Julai, 1899, kwa sasa ana umri wa miaka 117 huku ajuza mwingine ni Muitaliano, Emma Morano aliyezaliwa Septemba, 1899 ambaye naye kwa sasa ana umri wa miaka 117.
Wote wameingia katika Kitabu cha Kumbukumbu cha Dunia cha Guinness kwa kuwa ndiyo vikongwe walio hai mpaka sasa.
Hata hivyo, ajuza mwingine ambaye aliwahi kuishi miaka mingi ni Jeanne Calment, raia wa Ufaransa aliyezaliwa mwaka 1875 na alifariki dunia mwaka 1997 akiwa na miaka 122
SHARE!
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 16 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.
Published Under
MAGAZETINI LEO
April 16 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye
Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo
na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache
kukaa karibu kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamiiyaani facebook/tanzaniampyasasablog
na twitter@tanzaniampyasasa.
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)