
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewataka
maofisa madini wa kanda, mikoa na wilaya wanaomiliki vitalu vya madini
au migodi, waache kazi serikalini.
Mbali na agizo hilo, pia amesema wizara...