Dar
es Salaam. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), limesema
Uganda itachagua kupitishia mradi wake wa bomba la mafuta Tanzania kwa
sababu ni nafuu kwa Dola 500 milioni za...
Hatimaye wakuu wa Mikoa yote nchini wametii agizo la Rais John
Magufuli lilokuwa linawataka wasilishe ripoti ya idadi ya watumishi hewa
kwenye mikoa husika....
Selfie ya Egyptair
Mtu aliyepiga picha
na mtekaji wa ndege ya kampuni ya EgyptAir aliyevalia mkanda bandia wa
mlipuaji wa kujitolea muhanga amesema kuwa alitaka kuuona vizuri ukanda
hu...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo
MKUU wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo ametoa muda wa wiki tatu kwa
watu wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria wazisalimishe polisi au
kwenye ofisi za serikali na baada ya muda huo...