KINGAZI BLOG: 08/21/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, August 21, 2016

Kauliya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Ntibenda Aliyetumbuliwa Juzi na Rais Magufuli

Mkuu wa Mkoa wa Arusha aliyeondolewa, Felix Ntibenda amekabidhi ofisi huku akitoa neno la mwisho la kuwakaribisha Kigoma baadhi ya maofisa waliokuwapo kwenye hafla hiyo. “Karibuni sana Kigoma,” ndiyo lilikuwa neno la mwisho kwa Ntibenda alilolitoa baada ya kukabidhi ofisi kwa Mkuu wa Mkoa mpya Mrisho Gambo, hafla iliyofanyika kwa muda mfupi. Ntibenda aliyehamishiwa ofisi ya Waziri Mkuu, baada...

Man Fongo awachimba mkwara wa Bongo fleva

Kwa kasi iliyopo kwenye muziki wa Singeli, ni wazi kwamba unaelekea kuupoteza muziki wa Bongo Fleva kutokana na kasi ya kuenea kwake hapa nchini, jambo linalosisitizwa na mkali anayetesa katika muziki huo, Amani Hamisi ‘Man Fongo’. Man Fongo ambaye amepachikwa jina la Mfalme wa Singeli, anayesumbua na kibao chake cha Hainaga Ushemeji amesema wasanii wa Bongo Fleva wana kazi kubwa kuhakikisha wanabaki...

Picha za Mwisho za Marehemu Shakila Mjini Dodoma L

 Aliyekuwa msanii mahiri wa Taarab, marehemu Shakila Said wakati wa uhai wake akipongezwa na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati wa Tamasha la wasanii kumuaga Kikwete usiku baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa chama hicho, mjini Dodoma Julai 23, mwaka huu.   Shakila akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana. Akitafakari...

30 wauawa wakiwa, harusini nchini uturuki

Watu wapatao 30 wameuawa na wengine zaidi ya 90 kujeruhiwa, baada ya mlipuko wa bomu kutokea katika sherehe moja ya harusi katika mji wa Gaziantep, kusini mashariki mwa Uturuki. Hayo ni kwa mjibu wa maafisa wakuu nchini humo. Gavana wa jimbo hilo, Ali Yer-likaya, ametaja shambulio hilo kama tukio la kigaidi. Naibu waziri mkuu Mehmet Simsek, amesema mlipuko huo ni tendo la kinyama, huku akiongeza...
 

Gallery

Popular Posts

About Us