KINGAZI BLOG: 04/09/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, April 09, 2016

Mishahara ya watumishi serikalini kusawazishwa iwe katika uwiano ndani ya miezi 15

. SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kutoa agizo la kupunguza mishahara mikubwa ya watendaji wa mashirika ya umma, hatimaye Serikali kupitia Bodi ya Mishahara imeanza kazi ya kufanya marekebisho hay...

Rais wa Zanzibar atangaza baraza la mawaziri

Rais wa Zanzibar Ali Mohammed Shein Hatimaye Rais wa Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar ametangaza Baraza lake la Mawaziri akiwemo Hamad Rashid kutoka Chama cha Upinzani cha AD...

Alikiba Kugeukia Soka..! Je, Vipi Kuhusu Muziki ?

Msanii Alikiba amefunguka kuhusu suala la yeye kuingia kwenye soka na kulisakata kabumbu, na kusema kuwa suala kama hilo linawezekana kwak...

Mwanamuziki NDANDA KOSOVO afariki dunia.

Msanii wa muziki wa dansi Ndanda Kosovo amefariki dunia asubuhi ya leo katika hosptali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu...

AJABU: Mwanafunzi wa kiume apata ‘Hedhi’

Dunia ina mambo waswahili hawakukosea kusema hili, kila kukicha linaibuka jipya ambalo kwa namna moja ama nyingine linaweza kukuacha mdomo wazi.Umeshawahi kukutana na mwanaume ambaye hupata siku za mwezi kama kawaida kama wapatavyo wanawak...

Baada ya kulipuliwa na CCM,Lowassa Afunguka na Kumkosoa Rais Magufuli Tena.

Hali ya siasa nchini ni ya hamasa, lakini isiyokuwa na misingi endelevu. Kwa kuwa Rais amekuwa akigawa fedha wakati chombo cha kufanya hivyo kipo ambacho ni bung...

Ridhiwani Kikwete Akana kufanya biashara na Kampuni Ya Lugumi Inayotuhumiwa Kwa Mkataba Tata na Jeshi la Polisi

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii na kwenye vyombo vya habari kuwa yeye ni mmoja wa wamiliki wa kampuni ya Lugumi, inayodai...

Ccm Wamlipua Lowassa baada ya kuponda uongozi wa Magufuli.

Aliyekuwa mgombea Urais wa UKAWA kupitia CHADEMA, Ndugu Edward Lowassa, Aprili 7, 2016 alifanya mazungumzo na Wanazuoni kutoka katika vyuo vikuu vya ndani na nje ya nchi....

Mrema wa TLP amuomba JPM kazi

Mwenyekiti wa TLP taifa, Augustine Mrema MWENYEKITI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) taifa, Augustine Mrema amemuunga mkono Rais John Mgufuli kwa kasi yake ya kupambana na ufisadi na kumuomba ampe kazi ili amsaidie kutekeleza jukumu hil...

Waziri Mkuu atishia kufuta halmashauri

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametishia kufuta halmashauri zitakazoshindwa kukusanya mapato kufikia asilimia 80 ya lengo na kuwaonya watumishi wa halmashauri hizo wenye kampuni za...

Diamond yamkuta mazito

Kitendo cha kuposti picha inayomuonesha akiwa ametoboa pua na kuvaa kipini kilichofanywa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kimemfanya yamkute mazito kufuatia mashehe kumjia juu na kuwa gumz...

Magazeti ya tanzania yaalichoandika leo Jumamosi ya April 9 kwenye habariza kitaifa,kimataifa,udaku na michezo.

April 9 2016  naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya sasa blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysas...

JWTZ YATOA TAARIFA KUHUSU TUHUMA YA KASHFA YA NGONO HUKO CONGO

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us