Katikati ni katibu wa Baraza la sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mungereza akizungumza na wanahabari wakati wa kutoa tamko la kumfungulia Nay. Kushoto nia msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na kulia mwenye miwani ni Meneja wake, Maneno John.
Nay wa Mitego akizungumza.
Nay wa Mitego akionyesha cheti chake cha usajili na kibali cha BASATA.
Wanahabari wakifuatilia tukio hilo.
(PICHA:...
Monday, August 15, 2016
Rais Edgar Lungu Ashinda Uchaguzi Zambia
Published Under
KIMATAIFA
Rais Edgar Lungu.
RAIS Edgar Lungu ametangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa urais nchini Zambia kwa kupata asilimia 50.35 ya kura na kumshinda mpinzani wake, Hakainde Hichilema aliyepata asilimia 47.67.
Chama Kikuu cha Upinzani, UPND kimepinga matokeo hayo na kudai kura zimeibiwa.
Hakainde Hichilema ambae ni mara yake ya tano kugombea urais anadai kuwepo kwa udanganyifu wakati wa upigaji kura...
SHARE!
Nafasi za Kazi zilizotangazwa Leo na Makampuni Mbali Mbali Kwenye Magazeti na Mitandaoni
Published Under
AJIRA

Soma Nafasi za Kazi zilizotangazwa Leo na Makampuni Mbali Mbali Kwenye Magazeti na Mitandaoni, Nimekuwekea Links Hapa Chini:
Job Opportunity at Kaparama Professional Recruiters Ltd, Business Development Assistants (2 Posts)
Job Opportunity at Singita Grumeti Reserves, Application Deadline: 20 Aug 2016
Job Opportunities at STAMIGOLD Company Limited, Application Deadline: 28 Aug 2016
Job Opportunity...
SHARE!
TAARIFA RASMI JUU YA SAKATA LA KUJIUZULU MANJI KWENYE KLABU YANGA
Published Under
MICHEZO

Ni kweli Mwenyekiti amekusudia kufanya hivyo kwa sababu anasakamwa , anatukanwa na kudhalilishwa na Makonda na Mzee Akilimali.
Lakini kibaya hakuna tamko kutoka kwa Mwana-Yanga yeyote aliyekemea hilo na kuonyesha kumuunga mkono MWENYEKITI .Hivyo anajiona mnyonge na amesuswa bora akae pembeni. . Hivyo tumewasiliana viongozi wa Kanda wote tumeamua Tuitishe kikao cha Dharula kesho SAA 4 Asubuhi pale...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)