KINGAZI BLOG: 05/31/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, May 31, 2016

Hii hapa Nyongeza Ya Majina ya Vijana Waliomaliza Kidato cha 6 Wanaotakiwa Kujiunga na JKT Kabla ya Tarehe 10 Mwezi wa 6

Vijana wafuatao wameongezwa kuhudhuria mafunzo ya jkt katika makambi mbalimbali kama inavyoonekana hapo chini. Pia baadhi ya vijana wamehamishwa makambi kutokana na sababu mbalimbali.Waripoti kwenye makambi kama inavyoonekana  hapa chini kabla ya tarehe 10 juni 2016. S/NO    JINA                                                       ...

Haya hapa Magazeti ya Leo Jumanne ya May 31 2016

Karibu,tunakuletea kilichoandikwa kwenye magazeti ya Tanzania leo mei 30 usisahau kulike page yetu ya facebook/tanzaniampyasasa na twitter/tanzaniampyasasa ...

Wabunge Watoa maoni yao kuhusu wenzao kusimamishwa,wengine wapongeza.

Baadhi ya wabunge wa chama tawala wamepongeza uamuzi wa bunge wa kuwasimamisha wabunge 7 wa upinzani kwa kutofuata sheria za bunge kwa kutaka kushinikiza kujadiliwa kwa hoja ambayo ilikuwa imeshatolewa maamuzi kuhusu bunge kurushwa live. Baadhi ya wabunge hao ni Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ambaye ameupongeza uamuzi wa Bunge na kusema kwamba ni lazima ifike sehemu adhabu itawale bungeni....

Alichokisema Zitto kabwe baada ya kufungiwa kuhudhuria vikao vya bunge kupitia twitter.

Muda mfupi baada ya kutolewa taarifa ya kusimamishwa kwa wabunge saba wa Upinzani akiwemo Zitto Zubery Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha Act-Wazalendo ametumia akaunti yake ya Twitter kueleza haya kuhusiana na Sakata hilo:  Follow Zitto Kabwe Ruyagwa ‎@zittokabwe Wabunge wafuatao tunajadiliwa kusimamishwa kazi za Bunge kwa vipindi tofauti tofauti....
 

Gallery

Popular Posts

About Us