KINGAZI BLOG: 03/30/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, March 30, 2016

J.MARTINS FT JOSE CHAMELEONE & WAJE - FEELING YOU(AUDIO)

...

YEMI ALADE - NAKUPENDA(AUDIO)

...

Waliompiga Daktari Mkoani Mtwara Wakamatwa Wakijiandaa Kutoroka Kwenda Nje ya Nchi

Kufuatia tukio la ndugu wa mgonjwa  kumpiga Daktari Mkoani Mtwara, tayari jeshi la Polisi Mkoani humo linawashikilia watu kadhaa kwa kitendo hicho cha kumpiga Daktari wakati akiwa katika majukumu yake ya kikazi. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara,Henry Mwaibambe (Pichani) amese...

Wafanyakazi watatu TANESCO Watiwa Mbaroni Kufuatia Kifo cha Mfanyakazi Mwenzao Aliyenaswa na Umeme Juu ya Nguzo

Wafanyakazi watatu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoani Morogoro, wanashikiliwa na Polisi wakihojiwa kutokana...

Mpya Kuhusu Ajira za Walimu na Nyinginezo...Wenye Vyeti Zaidi ya Kimoja Kutopangiwa Kituo cha Kazi Serikalini.

...

RAIS MAGUFULI ATUA MWANZA NA KUFIKA KIJIJINI KWAKE,AWATAKA WATANZANIA KUFANYA KAZI KWELI KWELI ILI KUEPUKA MISAADA YA WAFADHILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefika nyumbani kwake katika kijiji cha Mlimani, Wilaya ya Chato Mkoani Geita kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa Rais, ambapo akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari Chato, ametoa wito kwa kila mtanzania kuchapa kazi kwa juhudi ili nchi iondokane na utegemezi...

HAYA HAPA MAGAZETI YA TANZANIA YALOCHOANDIKA LEO JUMATANO,MACHI 30,2016.KWENYE HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA UDAKUNA MICHEZO.

March 30 2016 nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya news blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysas... ...
 

Gallery

Popular Posts

About Us