KINGAZI BLOG: 04/13/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 13, 2016

Marekani yazidi kushambulia Al Shabaab

Image copyrightAPImage captionWapiganaji wa Al shabaab wameendeelea kuwalenga wanajeshi wa serikali na wale wa kigeni nchini Somalia Jeshi la Marekani limesema kwamba lilitekeleza mashambulio ya anga nchini Somalia na kuwaua wapiganaji 12 wa kundi la Al Shabaab. Idara ya ulinzi imesema wapiganaji hao walitishia usalama wa maafisa wa Marekani ambao wanasaidia wanajeshi wa serikali ya Somalia. Mashambulizi...

ENDELEA KUFUATILIA SEHEMU YA NNE YA STORI HII KALI YA MAPENZI IITWAYO ==TARATIBU MPENZI.-4

TARATIBU MPENZI  4 Mtunzi;Geofrey Malwa Mawasiliano;0712507115 Suzan alijikuta akiishiwa nguvu na kumruhusu Nelson kutimiza alichokipanga juu yake,,,alishindwa kusimama kutokana na raha aliyoipata kwa kushikwashikwa makalio yake yaliyokuwa laini kitendo kilichoambatana na kunyonywa ulimi wake,,,akawa kama anataka kuanguka ambapo alizuiliwa na mikono ya Nelson ilyopita kiunoni mwake...

NVITATION TO APPLY FOR THE RECOGNITION OF PRIOR LEARNING (RPL) EXAMINATION 2016/2017

...

Diamond platnumz na Huu ndio ukweli wake kuhusu Mjengo Maana anaoumiliki South Africa na Marekani..

.Baada ya kumaliza tour yake ya muziki Bara la ulaya na kurudi, Msanii anayefanya vizuri kitaifa na kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania, Nassib abdul maarufu kama Diamond platnumz, Ameweka wazi mambo mbalimbali kuhusu...

New AUDIO | Salam Tmk - Mfuko | Download

DOWNLOAD APPYATANZANIAMPYASASA                                         HAPA ...

Njama nzito kuficha mkataba wa Lugumi zajulikana.

  Ni ule uliohusisha vigogo wa Serikali, Jeshi la Polisi Watumia bilioni 5/- mafunzo kwa watu watano MKATABA tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara Said Lugumi, umezidi kuchukua sura mpya baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kushindwa kuendelea na sakata hilo kutokana na kuhamishiwa       ...

Taarifa ya TMA ya Aprili 12 ya mwelekeo wa mvua kwa siku 5 zijazo

Mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari kuhusu mvua zinazoendelea kunyesha kila sehemu nchi nzima.Katika taarifa yao kwa umma wameeleza mambo yafuatay...

Magufuli, Lowassa wakwepana tena

WAZIRI Mkuu mstaafu Edward Lowassa, kwa mara nyingine tena amekwepa kukutana ana kwa ana na Rais Dk. John Magufuli...

Q-Chillah kufanya bonge la kolabo na Diamond platnumz hivi karibuni

Q-Chief amedai kuwa anataka kufanya wimbo mkubwa na Diamond.Ameiambia blog hii kuwa mazungumzo kwaajili ya kufanyika wimbo huo yapo sehemu nzur...

Shamsa Ford Afurahia Kurudiana na Ney wa Mitego

BAADA ya kauli ya rapa Ney wa Mitego kwa mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford kwamba kama anachagua wasichana wa kurudiana naye atakuwa wa kwanza kutokana na ukarimu na mapenzi yake, mrembo huyo ameibuka na kufurahia kauli hiy...

TETESI:Anne Kilango Kupangiwa Kazi Nzuri zaidi ya Ukuu wa Mkoa Aliyofukuzwa.

Mh Anne Kilango Maleccela anasubiri kupangiwa kazi nyingine na Rais Dr Magufuli na huenda akapangiwa kazi nzuri zaidi ya kazi yake ya awali ya Ukuu wa Mko...

Mwanamuziki Ndanda Kosovo kuzikwa leo

Image captionNdanda Kosovo kuzikwa leo Leo ni Siku ya Maziko ya Mwanamuziki maarufu, Ndanda Kosovo, mwenye asili ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo ambaye aliaga dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi nchini Tanzania alikokuwa anafanya Shughuli zake za muziki...

Mtu mrefu kuliko wote Duniani aitembelea Mauritius

Mtu mrefu zaidi duniani raia wa Uturuki Sultan Kösen aliye na urefu wa futi 8 na inchi 3 au mita 2.51 amewasilia nchini Mauritius jana asubuh...

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 13 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.

April 13 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamiiyaani facebook/tanzaniampyasasa blog na twitter@tanzaniampyasas...
 

Gallery

Popular Posts

About Us