HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD
Online Loan Application and Management System
>>>>>>BOFYA HAPA KUAPPLY MKOPO WA ELIMU YA JUU ONLINE <<<<<<<<&l...
June 28 2016 ziliripotiwa taarifa kuwa watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalamu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za hifadhi kubwa zaidi duniani ya gesi adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania.
Leo June 29 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kupitia account yake ya tweeter amepost...
Aliyekuwa Mbunge wa Longido, Mhe. ONESMO NANGOLE.
Kesi iliyokuwa inaunguruma kuanzia tarehe 29.02.2016 katika Mahakama Kuu jijini Arusha imetolewa hukumu leo hii.
Katika shauri hilo aliyekuwa mgombea Ubunge wa CCM, Jimbo la Longido, Dk. KIRUSWA alifikisha mahakamani shauri hilo la kupinga matokeo ya ushindi dhidi ya Mbunge wa Longido, Mhe. ONESMO NANGOLE.
Akisoma hukumu...
Mkazi wa Belarusia akiwa ofisini.
BAADHI ya wananchi wa Belarusia wamekuwa wakienda makazini wakiwa uchi, na baadhi yao wakitupia picha mtandaoni zikiwaonyesha wakiwa uchi kutimiza kauli ya rais wao aliyoitoa siku za hivi karibuni.
Alexander Lukashenko (61).
Kiongozi wa taifa hilo, Alexander Lukashenko (61), anatajwa kama dikteta pekee barani Ulaya ambapo amekuwa rais wa Belarusia...
Napenda kukukaribisha tena katika jukwaa langu la afya yako, leo hii napenda nizungumzie tatizo ambalo limekuwa ni kubwa sana kupita kiasi kwa kila m, tatizo ambalo linayumbisha na kuweka ndoa matatani, usiwe miongoni mwa watu wenye upungufu wa nguvu za kiume, yote hayo utayaepuka kwa kufuata ushauri huu ulio badili maisha ya watu wengi na bado elimu hii inaendelea kutoa shuhuda kwa kila mtu aliyekuwa...
1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days.
2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke ameengua yai na ndio kipindi ambacho mwanamke ana uwezo wa kushika mimba akikutana na mumewe. Ni rahisi kutumia.
3. Fanya tendo la ndoa kabla ya kuengua yai (kabla ya ovulation), huongeza uwezekano wa...
Karibu tunakuletea, kilichoandikwa kwenye headlines za Magazeti ya leo Juni 29, usisahau kulike page yetu ya facebook kwa kubofya hapo chini, na kushare habari zetu.
...