KINGAZI BLOG: 04/06/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 06, 2016

Hii Ndiyo Mipango ya Diamond kwa Mwaka Huu

numz akitangaza kolabo na wasanii wa kutoka Marekani lakini hakuna hata moja tuliyoona hata cover yake,mwaka jana rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete alimuunganisha Diamond na meneja wa Trey Song na ikasema kuwa kuna kolabo itafuta hiyo ni mbali ...

Mbunge anusurika Kifo kufuatia shambulio la Al Shabaab

Polisi nchini Somalia imesema Mbunge mmoja amenusurika kifo karibu na soko la Mogadishu wakati watu wasiojulikana walipolimiminia risasi gari lake katika shambulizi lililowauwa walinzi wake wawili. Baadhi ya wanamgambo wa Al Shabaa...

DRAKE FT WIZKID & KYLA - ONE DANCE(AUDIO)

...

Shein atangaza kutumbua majipu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein  akiongozwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid na Katibu wa Baraza hilo kuingia kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi, Mbweni nje ya mji wa Zanzibar kwa ajili ya kuzindua Baraza hilo la Tisa....

Watumishi hewa 4,317 wafutwa Serikali Kuu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Angela Kairuki AGIZO la Rais John Magufuli la kuwataka viongozi sehemu za kazi kuondoa watumishi hewa, limesaidia watumishi hewa...

Afungwa Kifungo cha Maisha Jela Kwa Kumlawiti Mtoto Mlemavu wa kusikia na kuongea.

Mkazi wa Gongo la Mboto, Omary Hamis (25) amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya...

Hatimaye Utumishi Wafafanua Kuhusu Mshahara wa Rais Magufuli na Kikwete

Siku chache baada ya Rais Dk. John Magufuli, kutaja mshahara wake kuwa ni Sh. milioni 9.5 kwa mwezi, Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imefafanua mshahara aliokuwa anapokea Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, kuwa unalingana na wa kiongozi huyo. Katibu Mkuu Utumishi, Dk. Laurean Ndumbaro jana  alisema Kikwete aliondoka...

Haya hapa Magazeti Ya Tanzania Yalichoandika leo Jumatano Ya,April 06,2016 Kwenye habariza kitaifa kimataifa udaku michezo na stori kali

April 6 2016naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya sasa blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysas...

Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono afariki usingizini

 Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Meghan Wren Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Amber Rayne amefariki nyumbani kwake mjini Los Angeles ,maafisa wamethibitish...

Magufuli kuzuru Rwanda ziara ya kwanza nje tyaangu achaguliwe.

Hiyo itakuwa ziara ya kwanza ya Magufuli nje ya Tanzania tangu Oktoba Rais wa Tanznia John Magufuli amepangiwa kufanya ziara yake ya kwanza nje ya nchi hiyo tangu kuingia...
 

Gallery

Popular Posts

About Us