KINGAZI BLOG: 03/27/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, March 27, 2016

Rais MAGUFULI awataka watanzania kufanya kazi

Rais JOHN MAGUFULI amewataka watanzania kufanya kazi kwa bidii ili kuharakisha maendeleo ya nchi na kukuza uchumi wa taifa ikiwa ni sehemu ya kuondokana na umasikini nchini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia waumini huku akisikilizwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kiluther...

Kikao cha Baraza la 9 la wawakilishi chaitishwa visiwani ZANZIBAR

Kufuatia kukamilika kwa uchaguzi wa marudio visiwani ZANZIBAR , Katibu Mkuu wa Baraza la wawakilishi YAHAYA KHAMIS HAMAD Katibu Mkuu wa Baraza la wawakilishi YAHAYA KHAMIS HAMAD   Kufuatia kukamilika kwa uchaguzi wa marudio visiwani ZANZIBAR , Katibu Mkuu wa Baraza la wawakilishi YAHAYA KHAMIS HAMAD  ametangaza kuitisha kikao cha Tisa cha Baraza la Wawakilishi  siku ya jumatano...

CAF: Chad yajiondoa Taifa stars mashakani.

: Chad yajiondoa mashindanoni na kuicha Tanzania Taifa Stars mashakani Chad imejiondoa kutoka kwenye kinyang'anyiro cha kufuzu kwa dimba la mataifa ya Afrika linalotarajiwa kufanyika mwakani huko Gabon. Shirikisho la soka la Chad limefikia kauli hiyo kutokana na ukosefu wa fedh...

Walioshambulia Ufaransa na Brussels kupewa hukumu ya kifo.

Maafisa wa polisi nchini Ubelgiji Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, amesema kuwa kundi la Waislamu wenye itikadi kali walioshambulia Ufaransa mwaka uliopita na mashambulizi ya juma lililopita ya Brussels wanaendelea kuangamizwa. Alisema Serikali za Ufaransa na Ubelgiji zimefaulu kupata wanakojificha wengi wa wapiganaji hao na kuwatia...

Nassari aongoza maziko ya diwani pekee wa CCM

Mbunge wa Jimbo la ArumeruMashariki, Joshua Nassari akiwa katika mazishi yadiwani pekee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Naftali Mbise aliyezikwa jana eneo la Ngarenanyuki wilayani Arumeru mkoani Arusha. ...

Haya hapa Magazeti ya leo jumapili March 27 2016 kwenye,habari za`kitaifa kimataifa Udaku, na michezo

March 27 2016 nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya news blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysasa. ...
 

Gallery

Popular Posts

About Us