KINGAZI BLOG: 05/30/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, May 30, 2016

Wengine tena waongezeka wafikia saba,Bunge limeamua kuwafungia kushiriki vikao vya bunge vilivyobaki.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge limepitisha azimio la  kuwasimamisha kuhudhuria vikao vya Bunge baadhi ya wabunge wa Kambi ya Upinzani waliohusika katika kufanya vitendo vya vurugu ndani ya ukumbi na kudharau Mamlaka ya Spika Januari, 27, 2016. Wabunge waliosimamishwa kuhudhuria vikao hivyo ni Mhe.Kabwe Zubeiri Ruyangwa Kabwe, Mhe.John...

Kesi ya Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Zanzibar Kufumaniwa Akifanya Mapenzi na Mtoto Wake Yatupiliwa mbali

Kesi ya Faki Dadi Faki yatupiliwa nje maana binti ni mtu mzima ana miaka 21 though yuko form 6. Na sio mtoto wa kumzaaaa so hakuna incest.Na wala binti hakumshtua mamake ilikuwa Ndo mchezo wao mama mtu aliwafatilia mwenyewe.. Hata ile video ukiangalia utamuona binti anavaa chupi huku anapiga kelele analia... Mtu alie panga na manake Kweli anavua Hadi chupi??? Mimi kilichonistua kuhusu story ya...

Tundu Lissu na Esther Bulaya Wapigwa marufuku Kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya Bunge.

Tundu Lissu na Esther Bulaya wafungiwa kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya bunge la bajeti na bunge lijalo la mwezinwa tisa. Vilevile Zitto Kabwe, Pauline Gekul, Godbless Lema na Halima Mdee wafungiwa kushiriki vikao vilivyobaki vya bajeti na John Heche afungiwa kuhudhuria vikao kumi mfululizo vya bajeti kuanzia leo.Huu ni uamuzi wa kamati Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge chini...

SUALA LA POMBE AINA YA KIROBA DAWA ZA KULEVYA,SERIKALI YAFANYA MAAMUZI HAYA.

Hakuna kitu kinachowaharibu vijana wa Tanzania kama madawa ya kulevya na viroba. Lakini wakati vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya ikionekana kuendelea kuwa ngumu, serikali inakaribia kupata ushindi kwenye vita dhidi ya viroba. Serikali imetangaza kupiga marufuku utengenezaji, usambazaji na uingizaji wa plastiki nchini hadi kufikia mwaka 2017. Hiyo inamaanisha kuwa viroba vitakuwa...

Habre ahukumiwa kifungo cha maisha jela.

Image copyrightAFPImage captionHabre alipatikana na makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu , ubakaji na utumwa wa ngono. Aliyekuwa rais wa Chad Hissene Habre amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika kwenye uhalifu dhidi ya ubinadamu , ubakaji na utumwa wa ngono. Hissene Habre alihusika moja kwa moja katika uhalifu huo ambao ulifanyika wakati akiwa rais wa Chad. Waathiriwa...

PICHA 8: Wabunge walivyoamriwa kutoka bungeni baada ya kufukuzwa kwa wanafunzi UDOM

Naibu Spika Tulia Ackson ameamuru Wabunge kutolewa nje ya bunge baada ya baadhi ya Wabunge hao kusimama kupinga kitendo cha bunge kakataa kujadili suala la Serikali kuwataka wanafunzi wa UDOM kurudi kwao ndani ya saa 24 kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea kwa sasa. Baadhi ya wabunge wakionekana kujadili jambo Mbunge wa Chemba Juma Nkamia alivyosimama kuainzisha hoja hiyo Mbunge...

VIDEO: Waziri Ndalichako katolea ufafanuzi kufukuzwa kwa wanafunzi wa UDOM

ay 30, 2016 Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwafuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea hivi sasa. Waziri Joyce Ndalichako amesimama Bungeni leo kuongelea suala hilo. ULIIKOSA HII? ALICHOKIONGEA MBUNGE JOSHUA NASSARI BAADA YA BUNGE KUKATAA KUJADILI WANAFUNZI...

Bunge Laahirishwa Baada ya Wabunge wa Upinzani Kumgomea Naibu Spika Kwa Kukataa Hoja ya Wanafunzi 7000 Waliofukuzwa UDOM

Naibu Spika wa Bunge ameahirisha Bunge kabla ya muda wake baada ya wabunge kutaka kujadiliwa suala la wanafunzi wa Udom kufukuzwa chuoni wakati hawana kosa. Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari aliomba mwongozo na kutaka sakata la wanafunzi hao lijadiliwe lakini Naibu Spika, Tulia Ackson alisema jambo hilo haliwezi kusitisha shughuli za Bunge hivyo haliwezi kujadiliwa kwa wakati huo. Kauli...

Kimenuka Bungeni, Ni Kuhusu Wanafunzi 7000 wa UDOM Waliotimuliwa.mjadala mkali waibuliwa ni virugu tupu.

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila kujali itikadi ya vyama vyao, leo wametoka nje ya ukumbi wa bunge hilo baada ya Naibu Spika, Tulia Ackson kukataa kujadiliwa kwa kauli ya serikali kuhusu wanafunzi 7000 wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) waliosimamishwa. Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kutekeleza agizo la Maziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako hivi karibuni kiliwasimamisha masomo...

Rais JPM amteua Mama Makinda kuwa Mwenyekiti Bodi ya NHIF.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mhe. Jaji Shabani Ally Lila kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Kabla ya uteuzi huo Mhe. Jaji Shabani Lila alikuwa Jaji Kiongozi. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 30 Mei, 2016. Wakati huo huo, Rais Dkt. Magufuli amemteua Mhe. Anne Semamba Makinda kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). Uteuzi wa Mhe. Anne...

Haya hapa Magazeti ya Leo Jumatatu ya May 30

...

Wahamiaji 700 wafa maji baharini kwa muda wa siku 3

Umoja wa mataifa unasema kuwa huenda wahamiaji wapatao 700 wanahofiwa kufariki katika kipindi cha siku tatau zilizopita katika bahari ya Mediterranean. Msemaji wa Shirika la umoja wa mataifa linalowahudumia wakimbizi, Carlotta Sami, amesema kuwa mashua kadhaa yalizama katika maeneo ya kusini mwa Italia Jumatano usiku ikiwa na wahamiaji hao. Wahamiaji waliokololewa juma lililopita kutoka katika...

DIAMOND PLATINUMZ AKIONYESHA MENO YAKE YA DHAHABU.

Diamond Platnumz Na  Team yake ya wasafi walikuwa DALLAS kwaajili ya show kunayo moja ya video ambayo alipost instagram meneja wa diamond ilionyeshaPlatnumz akiwa ameweka meno ya Dhahabu.Tumezowea kuona wenzetu marekani wakiwa wanapenda kuweka hivyo na imeshakuwa kama fashion kwa super stars wa marekani ,Unakumbuka msanii AY  pia alishawekaga meno ya dizaini hi...

Takriban 17 Wafariki Kwenye Ajali ya Moto Ukrain

Takriban watu 17 wanahofiwa kufariki baada ya moto mkubwa kutokea katika jumba moja la makaazi ya kuwahudumia wakongwe, karibu na mji mkuu wa Ukraine, Kiev. Wakuu wanasema kuwa idara ya huduma za kuwaokoa watu ilifaulu kuwaokoa watu wengine 17, watano kati yao wamekimbizwa Hospitalini, wakiwa na majeraha mabaya ya moto. Taarifa kutoka huduma ya zima moto mjini humo, zinasema kuwa moto huo ulitokea...

Lori laparamia kituo cha masi yaendayo kasi Dar.

Gari  lenye namba za  usajili T 369 BUZ linalomilikiwa na DAWASCO likiwa limeparamia kituo cha mabasi baada ya gari hilo kukosa mwelekeo na kugonga kituo hicho na kujeruhi abiria watatu waliokuwa kituoni hapo. Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa 2 usiku jana eneo la Mbuyuni, Barabara ya Bagamoyo jijini Dar es Salaam...
 

Gallery

Popular Posts

About Us