KINGAZI BLOG: 07/06/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, July 06, 2016

EXCLUSIVE: Wema Sepetu kaongea kuhusu Diamond kumpost Instagram jana

1 July 5, 2016 mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kupost kwenye Instagram kuhusu watu kujitokeza kwa wingi kwenye show ambayo imeandaliwa na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu pamoja na Christian Bella na Idris. AyoTV ilimpata Wema na ameyasema haya >>>‘Watu wamekuwa wakiitumia hii beef yetu kujipatia...

Mtandao unaowaunganisha wapenzi wa Kiislamu wadukuliwa((HACKED)

Image copyrightBBCImage captionMtandao wa kuwaunganisha Waislamu wanaopendana Maelezo ya kibinafsi ya takriban wanachama 150,000 wa mtandao unaowaunganisha wapenzi wa Kiislamu umewekwa wazi mtandaoni. Zaidi ya ujumbe 700,000 za kibinafsi kati ya wanachama zimefichuliwa. Ujumbe katika mtandao huo ulisema: ''Tumejulishwa kuhusu udukuzi na tunaurekebisha mtandao wetu kwa lengo la kuimarisha usalama...

MAAAJABU!!!!!!Mwanamke kujifungua 'mjukuu wake'

Mwanamke ambaye anataka kutumia mayai ya uzazi ya bintinye ili kumzaa mjukuu wake ameshinda kesi mahakanani na kuruhusiwa kufanya hivyo. Mwanamke huyo wa umri wa miaka 60 alikuwa amekatazwa kupeleka mayai ya bintiye kwenye kliniki moja nchini Marekani hali iliyosababisha akate rufaa. Bintiye ambaye aliaga dunia mwaka 2011, anaripotiwa kumuambia mamake amzalie watoto wake. Lakini mamake alishindwa...

Lionel Messi ahukumiwa kufungwa jela

Image copyrightGETTY Mchezaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela baada ya kupatikana na makosa ya kutumia ulaghai wakati wa ulipaji ushuru, vyombo vya habari nchini Uhispania vinaripoti. Babake, Jorge Messi, pia amehukumiwa kufungwa jela kwa kuilaghai Uhispania €4.1m (£3.2m; $4.6m) kati ya 2007 na 2009. Wakati wa kesi, waendesha mashtaka walisema...

Diamond akiri kumkubali Wema Sepetu

MKALI wa Bongo hivi sasa ,na Rais wa label ya WBC Diamond Platnumz mapema hivi leo ameonyesha kuzika rasmi tofauti zake na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu,ambapo katika tukio lisilo la kawaida Daimond amepost ujumbe wa kushow Support tukio linalofanywa na Mlimbwende huyo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006. Kufuatia tukio hilo mashabiki wa Staa huyo nguli Afrika Mashariki kwa sasa wamempongeza...

MAGAZETI YA LEO JUMATANO 06/07/2016 KWENYE HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO NA UDAKU.

Eid Mubarak!!karibu tunakuletea uchambuzi wa magazeti ya Leo kwenye habari za kitaifa kimataifa na michezo,usisahau kutufollow kupitia twitter na face book @kingazi blog ...
 

Gallery

Popular Posts

About Us