>>Nafasi za Kazi Mwananchi Communications Limited, Application Deadline Application Deadline: 13 May 2016
>>Nafasi ya Kazi Marie Stopes Tanzania
>>Nafasi ya Access Bank Tanzania (ABT), Application Deadline 07 May 2016
>>Employment Posts At The Resettlement Support Center (RSC)
>>Employment Opportunities At OXFAM Tanzania, Application Deadline 13th May 2016
INGIA...
Saturday, April 30, 2016
Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 30 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.
Published Under
MAGAZETINI LEO

April 30 2016 naanza kwa kukuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye
Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo
na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache
kukaa karibu kwenye...
SHARE!
Jipya kuhusu kifo cha Pamba Wemba, tazama huyu jamaa kwenye video hii.
Published Under
KITAIFA
Taarifa
ambazo zinazidi kuenea kwenye vyombo vya habari Congo na mitandao ya
kijamii hata hapa Tanzania ni msiba wa Papa Wemba lakini sasa mjadala
umehamia kwenye namna kifo chake kilivyotokea
Kipande
cha video kinachomuonesha jamaa akichukua mic halafu akairudisha kwenye
stage na baada ya Pamba Wemba Kuanguka...
SHARE!
HII HAPA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CHADEMA
Published Under
KITAIFA

CHADEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Vincent
Mashinji amesema kuwa Katiba Mpya inayotokana na maoni ya wananchi
ndiyo msingi imara pekee unaoweza kuweka mifumo na taasisi kwa ajili ya
maendeleo ya kweli yatakayogusa maslahi ya Watanzania wote badala ya
nchi kuongozwa na kauli za viongozi.
Kutokana...
SHARE!
LULU AAMUA KUONYESHA PETE YAKE YA UCHUMBA HADHARANI
Published Under
TOP STORIES

Msanii wa filamu za kibongo Elizabeth Michael maarufu kama lulu amekuwa akipost picha mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii akiionyesha pete aliyovalishwa iliyopo kwenye kidole chake huku akiweka baadhi ya maneno kwenye post hizo.hebu jionee hapa picha hizo,Na Haya ndo maneno aliyoyaandika.
Simplicity z the key.
Kwenye picha nyingine ameandika: Pale unaposikia Kwa…Kwa…Kwa…Kwa Ya Rihanna wakati...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)