KINGAZI BLOG: 08/04/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, August 04, 2016

RAY C APOST KWA MARA YA KWANZA TANGU APELEKWE KWENYE MATIBABU BAGAMOYO

Usiku wa June 16 2016 kuamkia June 17 kuna video ya mwimbaji wa longtime Bongoflevani Rehema Chalamila au Ray C ilisambaa mitandaoni akiwa anachukuliwa na gari la Polisi Kinondoni Dar es salaam ambapo baadae ilikuja kugundulika alipelekwa Hospitali. Kesho yake mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group Ruge Mutahabaalionge na Amplifaya ya CloudsFM pamoja na millardayo.com na kuthibitisha...

SABABU 4 ZA WANAWAKE WAJAWAZITO KUFANYA MAPENZI KARIBU KILA SIKU

Baadhi ya wanawake wamekuwa wakiona ujauzito kama mzigo,walioubeba na baadhi wakiona kama zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwenye miili yao. Kubeba ujauzito sio jambo dogo,kukibeba kiumbe tumboni kwa miezi tisa kunaweza kuleta msongo wa mawazo.Zipo njia mbalimbali zinazoweza kumpunguzia mwanamke mjamzito msongo wa mawazo.S.ex katika kipindi cha ujauzito ni best S.ex ambayo huwezi kuipata katika...

DIAMOND PLATINUMZ AWATAJA WATANZANIA ANAOTAMANI KUKUTANA NAO USO KWA USO

Mwanamuziki Diamond Platnumz Agosti 2 akifanya mahojiano na kituo cha redio ameulizwa kuwa, tayari... Mwanamuziki Diamond Platnumz Agosti 2 akifanya mahojiano na kituo cha redio ameulizwa kuwa, tayari amefanikiwa kukutana na watu wengi duniani, watu wa tasnia mbalimbali, akipata nafasi ya kukutana na watu wawili Tanzania, Je! atamchagua nani? Akijibu swali hilo, Diamond ametaja watu wawili na kueleza...

MAGAZETI YA TANZANIA LEO ALHAMISI YA TAR 4 AUGUST KEENYE HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,MICHEZO .

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us