
Episode 1Nilifungua hiyo sms ili kuisoma nijue kilichomo,*uko wapi izzochapa?*Nilimjibu, *niko kazini ila natoka mda siyo mrefu*,*sawa tuwasiliane ukitoka*,*sawa*,Baada ya mawasiliano nilimgeukia VICKY,"Vicky mpenzi vipi?"Safi ila niko hoi sana,,"Lala hivi VICKY huo mguu mmoja ukunje na huo mwingine unyooshe alafu ulalie mbavu za upande wa kushoto,Alilala kama nilivyomuelekeza alilala kwa ubavu...