KINGAZI BLOG: 05/11/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, May 11, 2016

MALAIKA:NIMECHOKA KUFANANISHWA NA LULU WA BONGO MUVI

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya anayefanya vizuri, Malaika Exavery amesema anakerwa na kitendo cha watu wengi kumfananisha na muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na gazeti hili, Malaika alisema huko nyuma alipokuwa akifananishwa na msanii huyo hakujali, lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda imekuwa ni shida hadi wengine wanamsimamisha. “Unajua kufananishwa na mtu siyo tatizo, lakini...

Huyu ndiye binti wa miaka 19 anayedai kupewa ujauzito na Papa Wemba

Binti wa miaka 19 anadaiwa kuspend one night on the same bed na Hayati Papa Wemba amekua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ndani na nje ya Congo(D.R.C) akidai kuwa na ujauzito wa Mfalme huyo wa Rhumba aliefariki April 24 mwaka huu baada ya kuanguka jukwaani jijini Abidjan nchini Ivory Coast. Picha zinazodaiwa kuwa copied kutoka kwenye akaunti za social media za binti huyo,zinamuonesha akiwa kwenye...

Mwanamke Aunda Boti Lenye Umbo kama sehemu zake za siri.

Mahakama moja ya Japan imemwachia huru mwanamke mmoja aliyetengeza boti iliyofanana na uke wake. Jaji aliamuru kwamba boti ya Megumi Igarashi iliofanana na uke wake na yenye rangi nyingi haikuashiria umbo la uke. Hatahivyo ,alipigwa faini ya dola 3,700 baada ya jaji kuamuru hakuvunja sheria kwa kusambaza data ya uke wake ambayo inaweza kutumika kutengeza umbo la uke wake. Sheria kali za Japan zinapinga...

SNURA :CHURA IMENIONGEZEA UMAARUFU KWA KASI KUBWA.

STAA wa Muziki wa Kizazi Kipya, Snura Mushi amefunguka kuwa licha ya changamoto ya kutakiwa kutengeneza video mpya yenye maadili ya wimbo wake wa Chura, umaarufu wake umeongezeka kwani jina lake limekuwa gumzo kila kona nje na ndani ya nchi. Akipiga stori na gazeti hili, Snura alisema tangu aanze muziki hajawahi kufanya mahojiano na watu wengi kama kipindi hiki, kwani japokuwa alitakiwa na...

Maajabu!!!!! !! ! Mwanamke wa miaka 72 ajifungua mtoto wa kiume.

Daljinder Kaur alitibiwa kwa miaka miwili Mwanamke wa umri wa miaka 72 amejifungua mtoto mvulana katika hospitali moja nchini India. Mwanamke huyo alipachikwa mimba kupitia njia ya kitaalamu ya IVF ambapo yai la mwanamke hutolewa kutoka kwenye ovari, kutungishwa mbegu ya kiume na kisha kurejeshwa kwenye mji wa mimba. Yai hilo linaweza kutolewa kwa mwanamke mwingine. Njia hiyo hutumiwa kuwawezesha...

Hebu mcheki Mtoto wakike wa staa wa filamu za 'Action' Van damme akifanya kama baba yake alivyokuwa.

Mtoto wa nyoka naye ni nyoka vile vile.  Bianca, binti wa Van Damme Uzuri wa Bianca Van Varenberg, 25, usikulaghai ukadhani ni binti wa kuchezea tu. Atakupa mkong’oto hadi usahau njia uliyopitia.  Ni mtoto wa muigizaji mkongwe wa movie za mapigano, Jean Claude Van Damme. Anajulikana zaidi kikazi kama Bianca Bree. Miaka mitano iliyopita alionekana kwenye uzinduzi wa filamu ya baba yake...

Kasi ya Watanzania Kujiunga na Makundi ya Kigaidi ya Al-Shabaab na IS Yaongezeka........Waziri Asimulia Wanavyojiunga, Wapinzani Wahoji Wanajeshi Kupewa Ukuu wa Mikoa

Serikali imesema imeshtushwa na wimbi kubwa la vijana wa Kitanzania wanaojiunga na makundi hatari ya kigaidi ya Al-Shabaab na Islamic State, maarufu kama ISIS. Kauli hiyo imetolewa bungeni mjini Dodoma jana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi wakati akiwasilisha bajeti ya wizara yake ya Sh trilioni 1.6 kwa mwaka 2016/17. Dk. Mwinyi alisema pamoja na hali hiyo,...

Magazeti Ya Leo Jumatano Mei 11 kwenye habari za kitaifa , kimataifa udaku na michezo.

...

Rais Magufuli Awasili Nchini Uganda Leo Kuhudhuria Sherehe Za Kuapishwa Rais Museveni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Entebbe, nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni, kesho. &nbs...
 

Gallery

Popular Posts

About Us