
Staa wa muziki wa R&B, Jason Derulo na mpenzi wake, Daphne Joy wakiwa ufukweni.
CASA ARAMARA, Mexico
ANAPIGA kote kote! Staa wa muziki wa R&B, Jason Derulo na mpenzi
wake, Daphne Joy wameonyesha kuwa wanapendana sana baada ya kuonekana
wakijiachia vya kutosha huko Punta Mita, Mexico, Jumanne ya wiki hi...