KINGAZI BLOG: 07/22/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, July 22, 2016

TCU imetoa Orodha ya Vyuo Ambavyo Havitaruhusiwa Kudahili Wanafunzi Kwa Mwaka wa Masomo 2016/17

Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17. Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na; 1. International Medical and Technological University (IMTU) – Kozi zote. 2. St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – Kozi zote. 3. University of Bagamoyo (UoB) – Kozi zote.. 4. St. Joseph University...
 

Gallery

Popular Posts

About Us