Moja ya sababu kubwa ambayo watu wengi husema kwamba inawazuia kufanya biashara ni mtaji. Mimi huwa nakataa sana sababu hii kwa sababu haiwezekani leo huna mtaji, mwaka kesho huna mtaji na hata miaka mitano ijayo huna mtaji. Nasema mtaji ni kigezo tu ambacho watu wengi hutumia kuficha sababu halisi ya kutokuingia kwenye biashara ambayo ni kutokujipanga na kutokuwa tayari.
Leo nakushirikisha siri...
Monday, May 23, 2016
Magazeti ya Leo Jumatatu ya May 23, Ikiwemo ya Spika Afichua Wabunge Wavuta Bangi na Unga
Published Under
MAGAZETINI LEO

...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)