KINGAZI BLOG: 06/21/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, June 21, 2016

Rais Magufuli amteua Dkt. Jim Yonazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji TSN.

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Jim James Yonazi kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Rais Magufuli amefanya uteuzi huo kuanzia tarehe 18 Juni, 2016. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Jim James Yonazi alikuwa Mkurugenzi...

Al-Shabab lakiri kutekeleza shambulio Mandera Kenya

al-Shabab Kundi la wapiganaji wa kiislamu nchini Somalia al-Shabab, limekiri kutekeleza shambulio lililotokea Jumatatu asubuhi nchini Kenya, ambapo askari watano waliuawa. Shambulizi hilo linaloaminika kutekelezwa na roketi na kulenga gari ya polisi aina ya Land Cruiser lilitokea kilomita chache kutoka mji wa Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya. Mji wa Mandera uko mita chache kutoka mpaka wa...

Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni kwa staili ya tofauti leo

Wabunge wa upinzani katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania leo wameendelea na msimamo wao wa kususia vikao vya bunge lakini leo wamekuja na staili tofauti ambapo leo wameua kutoka nje ya ukumbi wa bunge kimyakimya bila kelele.Inasemekana baada ya hapo wamepanga kufanya kikao kujadili mstakabali wa msimamo wao,wabunge hao wamedhihirisha dhahiri kwamba wamechoshwa na Uongozi wa bunge kupitia...
 

Gallery

Popular Posts

About Us