KINGAZI BLOG: 05/18/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, May 18, 2016

Hii Hapa Hotuba ya Godbless Lema Iliyokataliwa Bungeni na kuleta kizaazaa.

Msemaji Mkuu Wa Kambi Rasmi Ya Upinzani Bungeni Na Waziri Kivuli Wa Mambo Ya Ndani Ya Nchi, Godbless Jonathan Lema (Mb). HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHE. GODBLESS JONATHAN LEMA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA HIYO, KWA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 Inatolewa...

Mbunge wa Ulanga alivyopendekeza sanamu ya Diamond platnumz ijengwe pale posta na ile ya askari itolewe

Pendekezo la mbunge wa ulanga lingekubaliwa  sanamu ya diamond ingeonekana kama hivi. Lakini pendekezo hilo liliibua hisia tofauti ndani na nje ya bunge na watu wengi kujiuliza maswali kuhusiana na kauli hiyo ya mbun...

Rais Magufuli Atishia Kuwatumbua JIPU Mawaziri Wawili......Wenzao Wabaki Vinywa Wazi Kikaoni

Operesheni ya kutumbua majipu ya Rais John Magufuli nusura iwaangukie Mawaziri wawili ambao  pia walikuwa  manaibu  mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Nne. Taarifa kutoka katika chanzo cha kuaminiwa zimeeleza kuwa Rais Magufuli alionesha kutoridhishwa na utendaji wa Mawaziri hao na kuwafokea mbele ya mawaziri wenzao  kwa kuwataja majina katika kikao maalum cha mawaziri kilichofanyika...

Tumbua Tumbua Yamgeuka Magufuli

DHANA ya utumbuaji majipu sasa imemgeukia Rais John Magufuli kutokana na kuongoza wizara iliyotawala na ubadhirifu wa fedha za umma, anaandika Regina Mkonde . Katika Serikali ya Awamu ya Nne chini ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, Dk. Magufili alikuwa Waziri wa Ujenzi – wizara ambayo inatajwa kujaa ubadhirifu wa pesa za umma na kwamba, rais huyo ameshindwa kuchukua hatua. Kutokana na hali hiyo,...

Magazeti tanzania yalichoandika leo tar 18 Mei 2016 kwenye habari za kitaifa kimataifa na michezo

Naanza kwa kukuletea habari zilizopewa uzito kwenye magazeti ya leo ikiwemo Sheria hatari kwa magufuli ...
 

Gallery

Popular Posts

About Us