KINGAZI BLOG: September 2016

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, September 19, 2016

Vyakula vinavyopendekezwa kutumiwa na wanawake wakati wa Siku zao (period).

Katika kipindi cha mzunguko (siku za hedhi) kwa kawaida wanawake hupoteza kiasi cha damu pamoja na baadhi ya madini chuma mwilini. Hali hiuo huweza kusababisha upungufu wa damu kama mwanamke atakuwa hapati lishe bora na ya kutosha. Sasa ili kuzuia upungufu wa damu na madini mwilini, msichana anatakiwa kula vyakula vyenye madini chuma na chokaa kwa wingi ikiwa ni pamoja na hivi vifuatavyo:- Orodha...

CHECK PICHA DIAMOND PLATINUMS NA WCB WAONYESHA JINSI WALIVYOMALIZANA NA UONGOZI WA SAIDA KAROLi

Sallam kutoka WCB ameonyesha baadhi ya nyaraka ambazo zimewapitia kibali cha kutumia sehumu za wimbo ‘Maria Salome’ wa Saida Karoli katika wimbo mpya wa Diamond, ‘Salome’. Wimbo ‘Maria Salole’ wa Saidi Karoli ni miongoni mwa nyimbo za asili zilizofanya vizuri miaka ya 2000. Hali hiyo iliufanya uongozi wa Diamond kuzungumza na uongozi wa Saida Karoli ili upate kibali cha kutumia sehemu za nyimbo...

Official VIDEO | Diamond Platnumz Ft. Rayvanny Salome ( Traditional ) | Watch/Download

...

RAYMOND WA WCB WASAFI NDIO HABARI YA MJINI,CHECK ALIVYOTIKISA NA VAZI LA AINA YAKE

Raymond aka Rayvanny look fabulous on this new wear of African print dress.Raymond Aka Rayvanny Stuns on new Fashion Kitenge Photo on his new Music of Salo...

Saturday, September 17, 2016

WALIOJIBADILISHA JINSIA WATAKA KUTAMBULIWA JINSIA MPYA WANANYANYASIKA PAKISTAN.

Nchini Pakistan watu waliojibadilisha jinsia wametishia kwenda mahakama kuu kudai haki zao za msingi kwani wananyanyaswa.Madai yao nikutambulika kisheria waajiriwe,huduma za afya na elimu wapewe.Wamekua wakijiuza na kucheza kwenye harusi ili kupata fedha ya kujikimu.Sababu za msingi zakujibadilisha ni kutokukubali jinsia walizozaliwa nazo....

Maaajabu!!! MSICHANA AZAA NA NYOKA NA KISHA MTOTO KUFANANA HIVI

Kehinde Adegoke, a teenager who is an indigene of Ogbomoso in Oyo State Nigeria, has revealed how she had  with a snake in her dream for four years and eventually got pregnant without any physical relationship with any man. Nigerian Tribune reports that the 19-year-old girl was delivered of a baby boy in the early hours of March 2015 but the baby later died on Sunday, March 29 without any sickness...

Friday, September 16, 2016

Shilole na Nuh Mziwanda wamaliza bifu lao

Ilikuwa ni ‘break up’ iliyofuatiwa na uadui mkubwa. Ilipelekea hadi Nuh Mziwanda kuandika wimbo ‘Jike Shupa’ uliomlenga ex wake Shilole. Haikuishia hapo, wawili hao waliendelea kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii na kwenye mahojiano na kulaumiana kwa mengi. Hata hivyo mlalamikaji mkubwa alikuwa Nuh aliyemwelezea Shishi kama mwanamke aliyempotezea muda wake na kumkwamisha kwenye muziki. Pia...

Thursday, September 15, 2016

HAYA HAPA MAJINA YOTE YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VIKUU MBALIMBALI MWAKA HUU 2016/2017

HIVI HAPAVYUO NA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA Chuo Kikuu cha Ardhi, (ARU) Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU), International Medical and Technological University (IMTU) Moshi University College of Cooperative and Business Studies(MUCOOBS-MOCCU) Chuo Kikuu cha Mlima Meru Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS) Chuo Kikuu cha Morogoro (MUM) Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU) Chuo Kikuu Huria cha Tanzania...

Saturday, September 10, 2016

Mtangazaji wa Clouds Tv ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wilaya

Leo Septemba 10, Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya 11, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji 1 na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa 1 ili kujaza nafasi zilizokuwa wazi katika Halmashauri hizo. Miongoni mwa Wakurugenzi wa Halmashauri walioteuliwa, yumo pia mtangazaji wa kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Tv kinachorushwa kila siku kuanzia jumatatu...

Ruby aamua kumjibu Diva baada ya kudai kuwa hamfahamu....... "Ampa makavu live"

Muimbaji wa ‘Na Yule’ Ruby amefunguka baada ya mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva kudai kuwa hamfahamu msanii huyo. Ruby ameiambia Bongo5 kuwa kauli aliyoitoa mtangazaji huyo anaiona ni kama utoto. “Naona ni ujinga, I don’t want to talk about it, naona ni utoto sidhani kama ninaweza kuliongelea hilo.” “Everybody knows me, so nahisi huo ni utoto tu labda wa kukosa majibu...

Shilole adai ilikuwa si rahisi kufanya scene na raymond kwa "NATAFUTA KIKI".

Msanii wa muziki wa bongo fleva Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole amefunguka na kusema ilikuwa ni jambo gumu kwake kufanya video ya ‘Natafuta kiki’ ya msanii Raymond. Msanii Raymond akiwa na Shilole wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Natafuta kiki’ Amesema ugumu huo ni kutokana na ukweli kwamba ‘scene’ ambazo alipaswa kucheza zilikuwa ngumu kwake jambo ambalo lilimfanya atumie kwanza kilevi kuondoa...

Friday, September 09, 2016

DUNIANI KUNA VITUKO: KUTANA NA FAMILIA INAYOLALA NA MYAMA HATARI SIMBA CHUMBA KIMOJA!

Kwenye nyumba tunazoishi mara nyingi tumekua tukifuga na kuishi na Paka au Mbwa kitu ambacho ni kawaida na ni nadra sana kukutana na mtu anaeishi na au kufuga viumbe ambavyo ni hatari kwa maisha ya binadamu mfano Nyoka.  Sasa hii inaweza kutushangaza kwa sababu kuna Simba ajulikanaye kama mkuu wa msitu alihamishia makazi yake kwenye nyumba ya Melanie Griffith mwigizaji ambaye kwa sasa ana...
 

Gallery

Popular Posts

About Us