Mwanamke mmoja kutoka Kenya amejiweka katika msururu wa picha za likizo za watu wengine katika mtandao wake wa facebook.
Sevelyn
Baada ya kushindwa kuwa na uwezo wa kusafiri kwenda
barani Asia,Sevelyn Gat alijiweka katika picha karibu na ndege,katika
ukuta mkubwa wa Uchina na hekalu moja. Sevelyn akisema anaondoka Kenya
Picha hizo zilizowekwa kwa njia ya nzuri ili
zisiweze kubainika kuwa za uongo zilikuwa mbaya zaidi na hivyobasi
kuweza kupendwa na mara nyingi sana. Sevelyn akisema kuwa ni siku yake ya mwisho akiwa china
Mfanyibiashara wa Nairobi sam Gachuru amejitokeza na kumsaidia kutafuta fedha ili kwenda likizo. Sevelyn
Kulingana na Sich Chirpse Sam aliwasumbua rafikize kuchangisha fedha za mahala pa kulala,nauli bima na pesa za kutumia. Seve Gats
Seve pia amepata kibali chake cha kuzaliwa anemtuma ombi la pasipoti na amepata kufunzwa kama meneja wa mradi.