BOFYA HAPA  KUDOWNLOAD APP YETU YA TANZANIAMPYASASA.
Madawa ya kulevya si janga linaloviumizwa vichwa vya wadau wa muziki wa Bongo Flava, bali Uganda pia mambo si mambo.
Muimbaji wa zamani wa kundi la Blue 3, Jackie Chandiru yupo kwenye hali 
mbaya baada ya kuathirika na utumiaji wa unga. Amekuwa kwenye wakati 
mgumu zaidi baada ya ndoa yake kuvunjika na sasa yupo rehab huku afya 
yake ikiwasononesha wengi.
Yupo kwenye kituo cha Bunamwaya ambako madaktari na washauri nasaha 
wanamsaidia arudi kwenye hali yake ya kawaida. Waliomuona wanadai kuwa 
hata ngozi yake imeanza kubabuka. Amekuwa akitumia cocaine na madawa 
mengine.
Thursday, April 14, 2016
Muimbaji wa Zamani wa Blue 3 Jackie Chandiru Hoi Kwa Madawa ya Kulevya
Published Under
TOP STORIES
About Author
BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

