“Kiukweli video ya Chura nimeifanya maalum kwa ajili ya youtube na wala sina mpango wa kuipeleka kwenye Tv yoyote Tanzania, licha ya kuwa nimetumiwa taarifa kuwa Kenya imeshaanza kuchezwa, kwa wanaosema haina maadili mimi sijaitengeneza kwa ajili ya Tv bali youtube kwa anaependa kuitazama ataitazama na kwa mtu ambaye kwake haina maadili asiingie youtube kuiangalia” Snura
Thursday, April 28, 2016
SNURA Afunguka Kuhusu Video ya Chura Kupigwa Katika Vituo vya TV...Adai Anaeona Haina Maadili Asiangalie
Published Under
TOP STORIES
About Author
BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi
- Next Hizi hapa Nafasi za Kazi zilizotangazwa Kutoka Makampuni Mbali Mbali Leo 28 April 2016
- Previous Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 28 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.