PICHAZ 14: Leicester City walivyopokea Kombe lao la kwanza la EPL leo May 7 2016 | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, May 07, 2016

PICHAZ 14: Leicester City walivyopokea Kombe lao la kwanza la EPL leo May 7 2016

Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Uingereza klabu ya Leicester City, leo May 7 2016 baada ya mchezo dhidi ya Everton katika uwanja wao wa King Power walipokea Kombe lao la kwanza la Ligi Kuu Uingereza baada ya wiki iliyopita Chelsea kuwa kutoa sare ya 2-2 na Tottenham Hotspurs, hivyo Leicester ikatwaa taji hilo moja kwa moja.
33EFE7D800000578-3578557-image-a-146_1462649019329
Hili ndio Kombe la kwanza kwa klabu ya Leicester City iliyoanzishwa miaka 132 iliyopita, lakini hili ndio taji la kwanza la Ligi Kuu kwa kocha wao Claudio Ranieri ambaye amewahi kuvifundisha vilabu ya Napoli, Inter Milan, Chelsea, Atletico Madrid na Juventus bila kuvipa taji la Ligi Kuu.
33EFE4D400000578-3578557-image-a-131_1462648174103
Leicester City wamekabidhiwa taji lao baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Everton, uliyomalizika kwa Leicester City kuibuka na ushindi wa goli 3-1, magoli ya Leicester City yalifungwa na Jamie Vardy dakika ya 5 na 65 kwa mkwaju wa penati na Andy King dakika ya 33, goli pekee la Everton lilifungwa na Kevin Mirallas dakika ya 88.
33EFF9C200000578-3578557-image-m-149_1462649321249
33EFD46000000578-3578557-image-a-95_1462646974283
33EFE77D00000578-3578557-image-a-139_1462648792451
33EFF68A00000578-3578557-image-a-155_1462650097629
33EEDD6F00000578-3578557-image-a-68_1462644307468
33EE5B9C00000578-3578557-image-a-27_1462639138843
33EE7E1C00000578-3578557-image-a-16_1462638634705
33ED399C00000578-0-image-a-114_1462631817762
33EFDB2C00000578-3578557-image-m-122_1462647615138
33EFE70C00000578-3578557-image-a-132_1462648181151
SPT_GCK_070516_Barclays Premier league. Leicester City v Everton. Picture Graham Chadwick. Leicester players celebrate winning their first ever premier league trophy.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us