Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo leo May 04 2016 imetoa kauli ya kuufungia
 wimbo wa Snura ‘chura’ kuchezwa kwenye MEDIA kuanzia leo mpaka Snura 
atakapoifanyia marekebisho video ya wimbo huo na kuitoa nyimbo hiyo 
kwenye mitandao ya kijamii yote.
Serikali
 imeeleza sababu ya kuufungia imetokana na maudhui ya utengenezaji wa 
video hiyo, pia serikali imesitisha maonyesho yote ya hadhara ya Snura 
mpaka atakapokamilisha taratibu za usajili wa kazi zake za sanaa katika 
baraza la sanaa la taif
Wednesday, May 04, 2016
Video ya SNURA_CHURA YAFUNGIWA KWA KOSA HILI
Published Under
TOP STORIES
About Author
BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi