Tangu 
mwaka 2016 uanze miongoni mwa story zilizochukua headlines kwenye 
mitandao mbalimbali ni hii inayomuhusu mwigizaji staa wa Tanzania,
Wema 
Sepetu kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Mcongo.
Sasa leo kupitia instagram amejibu tetesi hizo na kuandika..‘Sijawahi
 na sitowahi kuwa na mwanaume Mcongo wa aina yoyote ile… Sasa nashangaa 
watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu… Im Tired… Huyo 
apocalypse sijui kitu gani aint my man… I only know him as a friend.So 
please guys niacheni kidogo tafadhal… Alam-siq…!!!

 And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa na mtu 
sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart… Mwanaume 
wangu nadhani anajulikana’>> @wemasepetu


 And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa na mtu 
sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart… Mwanaume 
wangu nadhani anajulikana’>> @wemasepetu
‘Sasa 
endeleeni kumpa huyo baba attention sababu yeye nako naona kashaona ni 
kamchezo kakupatia followers.Na nyie mnampa airtime ya kutosha 
anaendelea Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira.But nakaa tu 
kimya… This is too much now’>>> wemasepetu