Pichani ni Bibi kizee mwenye umri wa miaka 84 na mkazi wa Kijiji cha 
Chungu, tarafa ya Ihanja, wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida akiwa 
amebebwa na mmoja wa ndugu zake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu
 Mkazi ya mjini Singida kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili kijana 
mmoja mwenye umri wa miaka 32 (jina lake halikupatikana) anayetuhumiwa 
kumbaka bibi kizee huyo kwa mara ya tatu sasa ndipo walipofanikiwa 
kumkamata.
Friday, April 15, 2016
Dunia imeishaa!!!!!!! Bibi Kizee wa Miaka 84 Abakwa na Kijana wa Miaka 32.
Published Under
MAAJABU
About Author
BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi