kumtembelea rafiki wa familia yetu, nimekuja kupumzika na mke wangu na mtoto wangu wa kike, pia nimekuja kutoa pongezi kwa ndugu yangu kwani tangu achaguliwe sijaja hapa Chato na nilisema siendi Dar, nitakuja hapahapa Chato‘
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akimkaribisha Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga nyumbani kwake 
Chato mkoani Geita
Mama Janeth Magufuli, Rais Magufuli na Raila Odinga
Familia ya Rais Magufuli ikimkaribisha Mama Ida Odinga
Raila
 Odinga na Rais John Magufuli, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja 
na Mke wa Raila Odinga Ida Odinga wakisali kwenye makaburi ya familia ya
 Rais Chato Geita.
Raila
 Odinga akisalimiana na mama mzazi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli 
Suzana Joseph Magufuli baada ya kufika nyumbani kwa Rais Magufuli Chato 
Geita
Raila Odinga, Mama mzazi wa Rais Magufuli pamoja na mke wa Raila Odinga, Ida Odinga.