April 25 2016 Bunge la 11 mkutano wa tatu limeendelea, na Waziri wa Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage alikuwa akijibu maswali ya wabunge.
Mbunge wa Moshi mjini, Japhary Michael aliuliza ‘Viwanda
vingi vilivyobinafsishwa havifanyi kazi badala yake vimegeuzwa kuwa
maghala ya kuhifadhia bidhaa mbalimbali na vimechakaa sana, aidha mafao
ya wafanyakazi waliostaafishwa katika hawalipwi licha ya malalamiko ya
muda mrefu, Serikali imejipanga vipi?’
Waziri Mwijage akajibu>>>’Wizara
kwa kushirikiana na ofisi ya msajili wa hazina inaendelea na zoezi la
kufanya ufuatiliaji na Tathmini katika viwanda na mashirika
yaliyobinafsishwa ili kubaini kama masharti ya vipengele vya mikataba‘
‘Aidha,
Serikali haiwajibiki kulipa mafao yoyote kwa wafanyakazi waliokuwa
katika viwanda vya magunia na Kilimanjaro Timber Ultilization‘ Waziri Mwijage
Aidha, Serikali haiwajibiki kulipa mafao yoyote kwa wafanyakazi waliokuwa katika viwanda vya magunia na Kilimanjaro Timber Ultilization‘ Waziri Mwijage