Rais wa tanzania,John Pombe Magufuli amemfuta kazi Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anne Kilango malecela,Baada ya kudaiwa kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusiana
na Watumishi hewa katika mkoa wake wa shinyanga,Pia Rais Magufuli amemfuta kazi Katibu tawala wa mkoa huo. BOFYA HAPA CHINI KUONA VIDEO
BOFYA HAPA KUONA VIDEO; RAIS MAGUFULI ALIPOKUWA AKIMFUTA KAZI ANNE KILANGO.