KINGAZI BLOG: May 2016

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, May 31, 2016

Hii hapa Nyongeza Ya Majina ya Vijana Waliomaliza Kidato cha 6 Wanaotakiwa Kujiunga na JKT Kabla ya Tarehe 10 Mwezi wa 6

Vijana wafuatao wameongezwa kuhudhuria mafunzo ya jkt katika makambi mbalimbali kama inavyoonekana hapo chini. Pia baadhi ya vijana wamehamishwa makambi kutokana na sababu mbalimbali.Waripoti kwenye makambi kama inavyoonekana  hapa chini kabla ya tarehe 10 juni 2016. S/NO    JINA                                                       ...

Haya hapa Magazeti ya Leo Jumanne ya May 31 2016

Karibu,tunakuletea kilichoandikwa kwenye magazeti ya Tanzania leo mei 30 usisahau kulike page yetu ya facebook/tanzaniampyasasa na twitter/tanzaniampyasasa ...

Wabunge Watoa maoni yao kuhusu wenzao kusimamishwa,wengine wapongeza.

Baadhi ya wabunge wa chama tawala wamepongeza uamuzi wa bunge wa kuwasimamisha wabunge 7 wa upinzani kwa kutofuata sheria za bunge kwa kutaka kushinikiza kujadiliwa kwa hoja ambayo ilikuwa imeshatolewa maamuzi kuhusu bunge kurushwa live. Baadhi ya wabunge hao ni Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ambaye ameupongeza uamuzi wa Bunge na kusema kwamba ni lazima ifike sehemu adhabu itawale bungeni....

Alichokisema Zitto kabwe baada ya kufungiwa kuhudhuria vikao vya bunge kupitia twitter.

Muda mfupi baada ya kutolewa taarifa ya kusimamishwa kwa wabunge saba wa Upinzani akiwemo Zitto Zubery Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha Act-Wazalendo ametumia akaunti yake ya Twitter kueleza haya kuhusiana na Sakata hilo:  Follow Zitto Kabwe Ruyagwa ‎@zittokabwe Wabunge wafuatao tunajadiliwa kusimamishwa kazi za Bunge kwa vipindi tofauti tofauti....

Monday, May 30, 2016

Wengine tena waongezeka wafikia saba,Bunge limeamua kuwafungia kushiriki vikao vya bunge vilivyobaki.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge limepitisha azimio la  kuwasimamisha kuhudhuria vikao vya Bunge baadhi ya wabunge wa Kambi ya Upinzani waliohusika katika kufanya vitendo vya vurugu ndani ya ukumbi na kudharau Mamlaka ya Spika Januari, 27, 2016. Wabunge waliosimamishwa kuhudhuria vikao hivyo ni Mhe.Kabwe Zubeiri Ruyangwa Kabwe, Mhe.John...

Kesi ya Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Zanzibar Kufumaniwa Akifanya Mapenzi na Mtoto Wake Yatupiliwa mbali

Kesi ya Faki Dadi Faki yatupiliwa nje maana binti ni mtu mzima ana miaka 21 though yuko form 6. Na sio mtoto wa kumzaaaa so hakuna incest.Na wala binti hakumshtua mamake ilikuwa Ndo mchezo wao mama mtu aliwafatilia mwenyewe.. Hata ile video ukiangalia utamuona binti anavaa chupi huku anapiga kelele analia... Mtu alie panga na manake Kweli anavua Hadi chupi??? Mimi kilichonistua kuhusu story ya...

Tundu Lissu na Esther Bulaya Wapigwa marufuku Kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya Bunge.

Tundu Lissu na Esther Bulaya wafungiwa kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya bunge la bajeti na bunge lijalo la mwezinwa tisa. Vilevile Zitto Kabwe, Pauline Gekul, Godbless Lema na Halima Mdee wafungiwa kushiriki vikao vilivyobaki vya bajeti na John Heche afungiwa kuhudhuria vikao kumi mfululizo vya bajeti kuanzia leo.Huu ni uamuzi wa kamati Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge chini...

SUALA LA POMBE AINA YA KIROBA DAWA ZA KULEVYA,SERIKALI YAFANYA MAAMUZI HAYA.

Hakuna kitu kinachowaharibu vijana wa Tanzania kama madawa ya kulevya na viroba. Lakini wakati vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya ikionekana kuendelea kuwa ngumu, serikali inakaribia kupata ushindi kwenye vita dhidi ya viroba. Serikali imetangaza kupiga marufuku utengenezaji, usambazaji na uingizaji wa plastiki nchini hadi kufikia mwaka 2017. Hiyo inamaanisha kuwa viroba vitakuwa...

Habre ahukumiwa kifungo cha maisha jela.

Image copyrightAFPImage captionHabre alipatikana na makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu , ubakaji na utumwa wa ngono. Aliyekuwa rais wa Chad Hissene Habre amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika kwenye uhalifu dhidi ya ubinadamu , ubakaji na utumwa wa ngono. Hissene Habre alihusika moja kwa moja katika uhalifu huo ambao ulifanyika wakati akiwa rais wa Chad. Waathiriwa...

PICHA 8: Wabunge walivyoamriwa kutoka bungeni baada ya kufukuzwa kwa wanafunzi UDOM

Naibu Spika Tulia Ackson ameamuru Wabunge kutolewa nje ya bunge baada ya baadhi ya Wabunge hao kusimama kupinga kitendo cha bunge kakataa kujadili suala la Serikali kuwataka wanafunzi wa UDOM kurudi kwao ndani ya saa 24 kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea kwa sasa. Baadhi ya wabunge wakionekana kujadili jambo Mbunge wa Chemba Juma Nkamia alivyosimama kuainzisha hoja hiyo Mbunge...
 

Gallery

Popular Posts

About Us