Naibu Spika Tulia Ackson ameamuru Wabunge kutolewa nje ya bunge baada ya baadhi ya Wabunge hao kusimama kupinga kitendo cha bunge kakataa kujadili suala la Serikali kuwataka wanafunzi wa UDOM kurudi kwao ndani ya saa 24 kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea kwa sasa.
Baadhi ya wabunge wakionekana kujadili jambo
Mbunge wa Chemba Juma Nkamia alivyosimama kuainzisha hoja hiyo
Mbunge wa Arumeru Joshua Nassari akifafanua zaidi
Baadhi ya wabunge wakitoka nje