Diamond Platnumz Na Team yake ya wasafi walikuwa DALLAS kwaajili ya show kunayo moja ya video ambayo alipost instagram meneja wa diamond ilionyeshaPlatnumz akiwa ameweka meno ya Dhahabu.Tumezowea kuona wenzetu marekani wakiwa wanapenda kuweka hivyo na imeshakuwa kama fashion kwa super stars wa marekani ,Unakumbuka msanii AY pia alishawekaga meno ya dizaini hii.
Monday, May 30, 2016
DIAMOND PLATINUMZ AKIONYESHA MENO YAKE YA DHAHABU.
Published Under
TOP STORIES
About Author
BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi
- Next Wahamiaji 700 wafa maji baharini kwa muda wa siku 3
- Previous Takriban 17 Wafariki Kwenye Ajali ya Moto Ukrain