
Serikali imesema imejipanga vilivyo kuhakikisha inawalinda raia na mali zao na kwamba watakao bainika kujihusisha ama kuunga mkono vitendo vya uhalifu ukiwemo ujambazi pamoja na kulibeza jeshi la polisi, watachukuliwa hatua kali.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na maafisa wa jeshi la polisi ,uhamiaji,magereza na vyombo vingine vya ulinzi na usalama usalama,katika...