Uteuzi huo umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe leo tarehe 13 March, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam, wakuu wa Mikoa walioteuliwa ni kama ifuatavyo
- Paul Makonda – Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
- Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga – Mkuu wa Mkoa wa Geita.
- Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu – Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
- Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga – Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
- Brigedia Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga – Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
- Godfrey Zambi – Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
- Steven Kebwe – Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
- Kamishna Mstaafu wa Polisi Zelote Steven – Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
- Anna Malecela Kilango – Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
- Mhandisi Methew Mtigumwe – Mkuu wa Mkoa wa Singida.
- Antony Mataka – Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
- Aggrey Mwanri – Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
- Martine Shigela – Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
- Jordan Mungire Rugimbana – Mkuu wa Mkoa Dodoma.
- Said Meck Sadick – Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.
- Magesa Mulongo – Mkuu wa Mkoa Mara.
- Amos Gabriel Makalla – Mkuu wa Mkoa Mbeya.
- John Vianey Mongella – Mkuu wa Mkoa Mwanza.
- Daudi Felix Ntibenda – Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
- Amina Juma Masenza – Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
- Joel Nkaya Bendera – Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
- Halima Omary Dendegu – Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
- Rehema Nchimbi – Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
- Mhandisi Evarist Ndikilo – Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
- Said Thabit Mwambungu – Mkuu wa Mkoa Ruvuma.
- Luteni Mstaafu Chiku Galawa – Mkuu wa Mkoa wa Songwe (Mkoa mpya).