YASMIN ELEBY AKIWA NA FURAHA SIKU YA HARUSI YAKE (kulia) AKIKATA KEKI.
,Mwanamke mmoja anayeitwa yasmin Eleby hakubahatika kupata mchumba wa kumuoa ambaye alihitaji kuwa mume wake mpaka alipofikisha umri wa miaka arobaini.ndipo alipoamua kufanya jambo lililowashangaza wengi pale alipoamua kujioa mwenyewe.
Kwa mujibu wa mtandao wa MySonAntonio Yasmin aliahidi kwamba endapo atafikisha miaka 40 bila kufunga ndoa basi ataamua kufunga ndoa ya mtu mmoja ili asherekee miaka 40