Tuesday, April 19, 2016
OMMY DIMPOZ AJIKITA KWENYE KILIMO BAADA YA GAME KUWA NGUMU.
Published Under
TOP STORIES
DOWNLOAD APPLICATION YA TANZANIAMPYASASA HAPA
Zamani ilijulikana kama kilimo ni shughuli ya watu wa hali ya chini au watu maalumu tu. Hii imekuwa tofauti kwa mwanamuziki Ommy dimpoz ambaye kwa sasa ameamua kujikita katika kilimo cha mazao mbalimbali, hii ilidhihirishwa juzi baadfa ya kupiga picha akiwa kwenye shamba l;ake huku akiweka Emoji za za matunda kwenye picha hizo alizozituma kwenye Mtandao wa Instagramu.Wasanii wengine wanaojihusiha na kilimo ni Ditto,Masanja mkandamizaji na pia Juma Nature.
About Author
BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi
- Next Mwanaume Shoga Aamua Kukiri Redioni Kufanya Biashara Hiyo...Aangua Kilio na Kuelezea A to Z Jinsi Alivyoanza....Ataka Kuacha
- Previous Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 19 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.