April 19 2016 ni siku ya uzinduzi wa Daraja la Kigamboni ambapo Mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amelizindua rasmi daraja la Kigamboni na amependekeza liitwe jina la Mwalimu Nyerere na si jina lake kama wengine walivyopendekeza.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo
.
.
.
.Ni Jiwe la msingi la daraja la Kigamboni lililozinduliwa na Rais John Pombe Magufuli 19, April 2016
.Rais John Pombe Magufuli na mkewe Janeth wakiwa na viongozi waliohudhuria uzinduzi huo
.
.
.Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu), Mh. Anthony Mavunde
.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John William Herbert Kijazi
.
.
.
.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jonh Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi mbalimbali
.
.
.
.
.
.Gari la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli likiondoka kwenye eneo la tukio
.
.Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
.Katikati ni Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Siro
.
.
.
SOURCE;MILLARDAYO.COM