kukonga nyoyo za mashabiki wake anapotumbuiza jukwaani.Ni dhahiri kuwa Diamond anauwezo mkubwa na mbinu nyingi za kuhakikisha mashabiki wake hawajutii kumuona akiwa anatumbuiza jukwaani,sasa hebu ona video hii akiwa anaperform jukwaani kwenye tour aliyoifanya Texas Marekani hivi karibuni.
>>>BONYEZA HAPA KUONA VIDEO<<<