NDEGE YA EMIRATES YAWAKA MOTO IKIWA NA WATU 300 | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, August 03, 2016

NDEGE YA EMIRATES YAWAKA MOTO IKIWA NA WATU 300


Ndege ya Shirika la  Emirates iliyokuwa ikijiandaa kutua katika Uwanja wa Kimataifa wa Dubai imewaka moto  na kusababisha taharuki kubwa kwa abiria waliokuwamo kwenye ndege hiyo.

Ndege hiyo Boeing 777 ilikuwa na abiria 282 na wafanyakazi 18 na hakuna aliyejeruhiwa. Abiria wote waliokolewa kupitia mlango wa dharura wa ndege hiyo iliyouwa ikiruka kutoka Trivvandrum, India.

Waliondolewa kwenye eneo la tukio ndani ya dakika 45 tangu kwa ndege hiyo kuwaka moto huku vyombo vya zimamoto zikichukua hatua ya haraka kuudhibiti moto huo.

Ndege hiyo iliwaka moto muda mfupi baada ya kutua kwenye uwanja huo na kwamba hadi sasa hakuna taarifa za kile kilichobabisha kuzuka kwa moto huo.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us