PICHA ZA UTUPU ZA MKE WA TRUMP ZAVUJA | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, August 03, 2016

PICHA ZA UTUPU ZA MKE WA TRUMP ZAVUJA

IMEVUJAA hatimaye picha za uchi za mke wa mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump aitwaye Melania Trump zimevujaa na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao mingi ya kijamii.

Picha hizo zilipigwa tangu mwaka 1995 miaka mitatu kabla ya kukutana na Trump, wakati huo Melania akiwa na umri wa miaka 25 na kuchapishwa kwa mara ya kwanza kwenye gazeti la New York Post mwishoni mwa wiki iliyopita na kurudiwa tena kwenye gazeti la jana Jumatatu.

Picha za utupu za mke wa Trump zilizovuja mitandaoni.

Gazeti lililotoa picha hizo.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us