TARATIBU MPENZI-Sehemu ya 3
Mtunzi;Geofrey Malwa
Mawasiliano;0712507115
Mawasiliano;0712507115
Kumbe alikuwa ni Nelson,alimbananisha mlinzi kwenye ile 
kona huku akimkunja shati na kumkandamiza kwenye shingo yake maeneo ya 
koromeo na kumtolea macho kwa ukali,,
,,,pochi yangu iko wapi?,,
,,,,pochi yangu iko wapi?,,
,,,hii hapa Bosi wangu,,,
Aliongea mlinzi huyo maneno yaliyoambatana na kumkabidhi 
pochi yake Nelson,akiwa haamini kitendo hicho alimwachia mlinzi na 
kuanza kuikagua pochi yake,alipoona kila kitu kiko sawa,kiubinadamu aibu
 ilimshika,lakini hakutaka kuomba radhi,aligeuka na kuondoka kwa hatua 
za taratibu,,,Bosi na hii ni ya kwako?,,,aliongea hivyo Mlinzi huyo huku
 akimwonyesha ile bangili ya dhahabu ambapo Nelson alipoiona alishtuka 
na kukubali haraka huku akionyesha kumshukuru sana mlinzi,,kichwani 
mwake Nelson alijua wazi bangili ile ni ya Suzan akaichukua kwa 
makusudi,,,
Tafrija iliisha salama na kila mmoja alirejea nyumbani 
kwake,,kwa upande wa Nelson akiwa nyumbani kwake amejilaza kwenye kochi 
lake aina ya Sofa jeupe huku akiangalia Televisheni,mkono wake mmoja wa 
kulia aliuweka kifuani huku akiwa ameshikilia ile bangili ya 
dhahabu,Kumbukumbu zake zilikwenda moja kwa moja kwa Suzan,alikumbuka 
tukio zima la Tafrija na jinsi alivyofanya mapenzi na Suzan,alibaki 
akitabasamu huku akiona jambo hilo kama ndoto kwasababu Suzan alikuwa ni
 binti mzuri aliyejaaliwa mvuto wa hali ya juu.
Siku ile walibadilishana hadi namba za simu ambapo Suzan 
alimsisitiza Nelson asimpigie simu mpaka yeye ndio amtafute,Nelson akiwa
 amejilaza kwenye kochi aliiangalia namba ya Suzan kwenye simu yake na 
kuishia kuiacha kama ilivyo,,,
Kwa upande wa Suzan alikuwa ameshika simu yake kubwa 
nyeupe,Smart Phone aina ya Galaxy S3,,akiwa makini na kujibu meseji za 
watu katika mtandao wa WhatsApp,mara ghafla alipigiwa simu na Adrian 
ambaye alimsevu HUBBY,akatabasamu kisha akapokea simu,,
,,,hallo!,baby,,,
,,,yes,nambie mke wangu mtarajiwa,,,,
,,,nimekumisi kweli mume wangu mtarajiwa,,,,
,,,hata mimi pia,sasa nakuomba tukutane hapa LATEST FASHION,nipo hapa kuna kitu kizuri nimekiona nahisi utakipenda,,,
,,,whaaooh!,,sawa mpenzi wangu nakuja sasa hivi,,,
,,,kitu kingine,,
,,,enhee nakusikiliza mume wangu,,,
,,,si unajua mimi huwa napenda kukuona ukiwa umevaa nini?,,
,,,hilo tu!,,usijali mpenzi wangu,,utaniona nikija,,
,,,yes,nambie mke wangu mtarajiwa,,,,
,,,nimekumisi kweli mume wangu mtarajiwa,,,,
,,,hata mimi pia,sasa nakuomba tukutane hapa LATEST FASHION,nipo hapa kuna kitu kizuri nimekiona nahisi utakipenda,,,
,,,whaaooh!,,sawa mpenzi wangu nakuja sasa hivi,,,
,,,kitu kingine,,
,,,enhee nakusikiliza mume wangu,,,
,,,si unajua mimi huwa napenda kukuona ukiwa umevaa nini?,,
,,,hilo tu!,,usijali mpenzi wangu,,utaniona nikija,,
Maongezi kati ya mtu na mpenzi wake ambao wanamipango ya 
kufunga ndoa pamoja,Adrian na Suzan yaliishia hapo huku Suzan akiwa 
amekubali kwenda alipoitwa na Adrian kwenye duka maarufu lililokuwa 
linasifika kwa kuleta bidhaa bora za 
kike,mikoba,nguo,pochi,viatu,urembo,viatu na vitu vyote vinavyomhusu 
mwanamke,,
Kwa upande wa Suzan alijiandaa vizuri kisha akaanza 
kutafuta kile kitu ambacho Adrian anapenda kumwona akiwa amekivaa,kitu 
hicho kilikuwa ni bangili ile ya dhahabu ambayo Nelson ndiyo alikuwa 
nayo,Suzan aliitafuta na kuwauliza wafanyakazi wa humo ndani ambao huwa 
wanahusika na usafi wa chumba chake mpaka wakawa kama wamepishana 
kauli,,,
Akiwa amejifungia mlango humo ndani,alikumbuka lile tukio 
alilofanya na Nelson kisha akaona ampigie simu ili amwulize kama aliona 
bangili yake,,,,moyo wake ulisita kwa mara ya kwanza lakini alipowaza 
kuwa ameambiwa aende nayo akiwa ameivaa alijikuta akimpigia simu 
Nelson,,,
,,,,hallo Suzan,,,mambo!,,,
,,,,safi tu habari?,,,
,,,,nzuri,naona umenikumbuka!,,
,,,,mmmh,eeh,sasa kuna kitu nataka nikuulize,,,
,,,,niulize tu mrembo wangu,,,
,,,,eti siku ile pale,uliona bangili yangu?,,
,,,ndiyo ninayo,siku ile sikukuona baada ya lile tukio nikashindwa hata kukurudishia,,,
,,,ha!,,nashukuru sana,sasa nitaipataje?,,
,,,lini?,,
,,leo,tena muda huu,,
,,,anhaa,,basi ngoja nikutumie meseji itakayokuelekeza mpaka nyumbani kwangu,nina wageni wengi leo,au vipi?,,
,,,haina shida,utakuwa umenisaidia sana,,,
,,,,safi tu habari?,,,
,,,,nzuri,naona umenikumbuka!,,
,,,,mmmh,eeh,sasa kuna kitu nataka nikuulize,,,
,,,,niulize tu mrembo wangu,,,
,,,,eti siku ile pale,uliona bangili yangu?,,
,,,ndiyo ninayo,siku ile sikukuona baada ya lile tukio nikashindwa hata kukurudishia,,,
,,,ha!,,nashukuru sana,sasa nitaipataje?,,
,,,lini?,,
,,leo,tena muda huu,,
,,,anhaa,,basi ngoja nikutumie meseji itakayokuelekeza mpaka nyumbani kwangu,nina wageni wengi leo,au vipi?,,
,,,haina shida,utakuwa umenisaidia sana,,,
Basi Nelson kwa upande wake simu ilipokatwa,aliandika 
meseji haraka na kuituma,kwavile mahali alipokuwa anakaa palikuwa sio 
rahisi kupotea,alijiamini kuwa Suzan atafika kwa maelekezo aliyompa 
kwenye meseji,,,,alichokifanya Nelson,aliandaa mazingira mazuri 
yatakayomshawishi Suzan ili afanye naye tena mapenzi,hakuridhika na ya 
kule kwenye Tafrija alihitaji kumsugua kitandani kabisa,,
Suzan akiwa na wasiwasi na kile alichofanya na Nelson 
kinaweza kujirudia tena,roho yake ikasita kwenda peke yake,alipotoka nje
 alimwambia dereva amwendeshe huku mlango siti iliyosambamba na dereva 
alikaa mlinzi wake yaani (BODYGUARD),kisha yeye akaketi siti ya 
nyuma,,,,gari iliwashwa ambapo dereva alipewa maelekezo yote na Suzan 
kama ilivyoandikwa kwenye meseji,kwa bahati nzuri dereva akawa anaijua 
mitaa hiyo ikawa rahisi kuelekea huko,,,
Akiwa ameshajiandaa na kujiweka sawa huku akidhamiria 
lazima amshawishi Suzan mpaka afanye naye tena mapenzi,muungurumo wa 
gari ulisikika nje ya nyumba yake Nelson ambapo alijua tu atakuwa ni 
Suzan,akachungulia kupitia dirishani akamwona Suzan akateremka peke yake
 nba kuja kwenye mlango wake,,,
Ngo,ngo,ngo!,,hodiii,,alisikika akibisha hodi Suzan ambapo 
Nelson alijilaza kwenye kochi haraka kama mwanzoni kisha akajibu,,pita 
tu mlango haujafungwa,,,basi Suzan aliingia ndani ambapo alikuwa 
amevalia gauni laini la bluu,lenye matirio ya kuvutika,,,chini alivalia 
viatu virefu vlivyompendesha zaidi huku nywele zake ndefu za asili 
akizibania kwa nyuma,,,
Whaooo!,,aliongea Nelson huku akiinuka kwenye kochi na 
kumkumbatia Suzan ambaye alikubali kukumbatiwa,wakatia anamkumbati 
aNelson alipeleka midomo yake na kumbusu kwenye shingo Suzan aliyebaki 
akitabasamu,,,,Suzan akwa kama anataka kujitoa kwenye mwili wa Nelson 
ambapo Nelson hakuonyesha dalili ya kumwachia,walikumbatiana huku wakiwa
 wanaangaliana,,,
,,,,,jamani siamini kama umefika!,,,
,,,,,nimefika,ila huku mbali,,,
,,,,,usijali,pole,,,
,,,,,ahsante,,
,,,,,nimefika,ila huku mbali,,,
,,,,,usijali,pole,,,
,,,,,ahsante,,
Wakati wakiwa wanaendeleza Maongezi hayo mikono ya Nelson 
tayari ikawa imeshafika kwenye makalio laini ya Suzan yaliyokuwa kwenye 
gauni nyepesi na kuanza kuyashikashika,,,nooo,Nelson usifanye hivyo 
jamani,,,,aliongea Suzan huku akitaka kama kujitoa kwenye mwili wa 
Nelson ambaye alikuwa kama bubu Fulani,,,,hakuacha kufanya hivyo 
aliendelea kuyashikashika makalio ya Suzan huku mkono wake akiuingiza 
kwenye mstari wa ikweta na kuendelea kuyashikashika makalio 
hayo,,,mmmh,,,Nelson mchezo hatari huo,,,basi Nelson hakusikia akawa 
kama ameziba masikio,
Nelson akamsogezea mdomo wake akiimba ulimi ambapo Suzan 
alikataa mwanzoni,lakini Nelson alitumia nguvu kumlazimisha denda mpaka 
Suzan akafungua mdomo mwenyewe na kuruhusu ulimi wake 
kunyonywa,,,,,Itaendelea